正在加载视频...

视频加载失败

Watu wanalizwa sana.

68,307 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

_YoungMaster_ 的头像
_YoungMaster_1 年前

Hizi ng'ombe wacha ziibiwe mpaka zipate akili. Bila kupata akili ndio wanao kwenda kutuchagulia viongozi washenzi washenzi. Nyambafu.

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

space meets sound

BL 👷‍♂️ 的头像
BL 👷‍♂️1 年前

Unatumaje hela zako kwa mtu ambaye humuoni ??? Utaratibu wa asili wa kikoba ni kukutanika nyumbani kwa mwanakikundi, au ofisini na watu wanajadiliana (mnajuana) kuwa flani apewe hela au asipewe.. Sasa wewe hata hujuani na wenzio, unarusha tuu hela huko 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️😂😂

Ramadhan Bundala 的头像
Ramadhan Bundala1 年前

Watu wengi wanasani pesa nipambane nikutumie rahisi. Mie binafsi naamini duniani hapa hakuna pesa ambayo nitaweza kuipata kirahisi eti niweke buku izae nevaaaaa

Hunk 的头像
Hunk1 年前

Hamna akili 210k daily sasa si utengeneze mzunguko kwenye account yako ukakope bank,matapeli endelee kula hela za bure

kinara 的头像
kinara1 年前

Hawa wanawake wa aina hii wana shida, 210k kila siku kwanza anatoa wapi? Kwa shughuli gani halali alafu umpe mtu tu.

Yunus Abdul Wallace 的头像
Yunus Abdul Wallace1 年前

Wapigwe tu hakuna namna watu wanapenda rahisi

Principle Ngube,J 的头像
Principle Ngube,J1 年前

Aise sema wanawake bana

abbleluv 的头像
abbleluv1 年前

Mwanamke kama huyu ndo wakuoa sasa ! Akili nyingi sana.

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔 的头像
𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔1 年前

Sio watu kaka ni Wajinga yan wanashindwa kuweka hela CRDB,NMB,VODA,YAS unakuja unampa mtu hela eti mchezo 😅😅😅

@See your self 的头像
@See your self1 年前

Ujinga unaaza kesama sisi masikini tumie akili zenu huyo dada mm awe bi mdogo bi mkubwa Nicole @geofkiswaga

相关视频