Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Why Zumaridi anaitwa "Baba?"

34,229 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊1 год назад

Tanzania ukifanya biashara ya kuwauzia matumaini basi utajiri huu hapa

Фото профиля Baba Vickram Aditya Bedi
Baba Vickram Aditya Bedi1 год назад

The legacy and descendants of Baba Guru Nanak Dev Ji, by Baba Vickram Aditya Bedi Click on the link below:

Фото профиля Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 год назад

Ndio lugha zenyewe za manabii. Ni mama kwenye macho ya kibinadamu; baba kiroho 😁

Фото профиля Bongozozo!!!
Bongozozo!!!1 год назад

Makafir bhana.....Mungu ashangae kwani Mungu ,nibinadam..???........Mungu sio kiumbe wasenge nyie,,,............Mungu acheni Wala halii,Mungu ashangai Wala Hana jambo jipya hapa duniani!........

Фото профиля tiba asili
tiba asili1 год назад

ziwa sasa alivyoliboost😂😂huyo amevunja ndoa za wengi sana Mwanza aiseee kuna wanawake walichagua kuachika ila si kutoka kwake

Фото профиля Dingii
Dingii1 год назад

Watu wana matatizo ya akili nchi hii jamani

Фото профиля gesase Mrimi
gesase Mrimi1 год назад

Sisi wakristo Kuna sehem kwenye bible tunasoma inasema (Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa) nadhan ndio hawa sasa

Фото профиля jibwa pori
jibwa pori1 год назад

Aisee kunaviumbe kwenye hii Venezuela yetu wamepagawa nilikua mwanza mwezi wa12 nikamsindikiza broo kwenda kurekebisha AC kwahuyu mama aisee vijana waliopo pale wanaitaji msaada maana wanavyomsujudia utazani mungu kwenye picha yake wanasujudu mara tatu

Фото профиля The Fact
The Fact1 год назад

Atakuwa anafahamu hii Sheria (Interpretation of Laws Act) Gender and number In any written law— (a) words importing the masculine gender include the feminine; (b) words importing the feminine gender include the masculine;

Фото профиля Mr. Darajani
Mr. Darajani1 год назад

kwasababu Baba ni mamlaka, Baba ni mtawala ndiyo maana hata Mungu tunamuita Baba, mama ni msaidizi kwa Baba, kwahiyo wakimuita mama ni kama wanashusha mamlaka aliyokuwa nayo!

Фото профиля MOTO WA MIALI
MOTO WA MIALI1 год назад

Asilimia kubwa ya wakristo hawasomi NENO la Mungu , hivyo manabii wa uhongo na fake pastors wanawadanganya kirahisi , Mtu kama huyo haupaswi sio tu kumkaribisha nyumbani kwako hata salamu usimpe hili usizishiriki kazi zake

Похожие видео