Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

11,480 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Mzee ahoji maana ya Mungu kwa wakristo. Sikiliza anachokisema... Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

ewardrayms's profile picture
ewardrayms1 year ago

Ikumbukwe wazi kwamba. Sisi Wakristo Tunaamini Katika UTATU MTAKATIFU. IKIWA MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU. ikumbukwe pia KATIKA KITABU cha Uumbaji.. MUNGU alisema na tumfanye mtu kwa mfano wetu sisi. Ikiwa Inamaana MUNGU HAKUWA PEKE YAKE๐Ÿค”

Steward's profile picture
Steward1 year ago

Asicho jua ni kwamba Kipindi cha Musa Mungu ajifunua kama Moto akazungumuza na Musa Mungu alijifunua kama Radi inamaana Mungu hawezi kujifunua kama binadamu? YESU alizaliwa kwa Neno na kwa Roho Wengine tumezaliwa kwa Mbegu ya mwanadamu Hatuja wai kufa na kufufuka

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

does this represent Miami?

Alexander A Msoffe's profile picture
Alexander A Msoffe1 year ago

Mbona anajiuniza kutafuta filosofia kubwa sana,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kwani kati ya YAI na kuku kilianza nini?

JESUS COUSIN๐Ÿ“Œ's profile picture
JESUS COUSIN๐Ÿ“Œ1 year ago

Hamna akili wewe na huyo mzee

@weremarwa's profile picture
@weremarwa1 year ago

Shida ni kwamba hata hii picha siyo ya yesu wala mungu, ni ya jamaa mmoja mmalekani anaitwa BRIAN NICODEMA ila waafrica wanajua huyu ndo yesu

Pax's profile picture
Pax1 year ago

Alafu mungu akasema mungu wangu wasamehe hawajui walitendalo๐Ÿ˜€

Mshanga P J's profile picture
Mshanga P J1 year ago

Fumbo la Imani

Ignas andrea's profile picture
Ignas andrea1 year ago

uyu anashida ya akili kiufup nikumwacha aendelee na maisha yake

Kwitega CO.'s profile picture
Kwitega CO.1 year ago

Hana akili huyu jamaa, ๐Ÿ˜‚ Anarukia mambo asiyoyajua. Aende akasome Mpango wa ukombozi, Eti anachoka akili utafikili Hata akili anazo ktk maarifa ya kumjua Mungu. Soma upate maarufa๐Ÿ˜‚

Related Videos