
Lucas E. Malembo
@MalemboLE • 39,005 subscribers
| CEO, @MalemboFarm ‘s | 🇹🇿Leading Sustainable Agribusiness & Nutrition for over a decade | AfCFTA Advocate | 2025 IVLP Alumnus 🇺🇸| Content with Enough.
Shorts
Videos

Nikiwaza niliagiza mashine ya kuchakata/kusanga kisamvu China, najiona Mjinga kabisa.
Lucas E. Malembo118,773 views • 1 year ago
4:20
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Bwana u sehemu yangu, rafiki yangu wewe Katika safari yangu, tatembea na wewe Pamoja na wewe, pamoja na Wewe Katika safari yangu, tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka, ili niheshimiwe, Na yanikute mashaka, sawasawa na wewe Pamoja na wewe, pamoja na wewe Heri nikute mashaka sawasawa na wewe. Niongoze safarini Mbele unichukue Mlangoni mwa Mbinguni, niingie na wewe Pamoja na wewe, pamoja na wewe Mlangoni mwa Mbinguni, niingie na wewe.
Lucas E. Malembo54,068 views • 1 year ago

Mungu tusaheme kutokuelewa kwetu, Afrika hatukupaswa kuwa hapa.
Lucas E. Malembo47,015 views • 1 year ago
No more content to load