
Lubasha Jr
@MarekaMalili • 678,735 subscribers
|Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Shorts
Videos

Vijana msio na Yard ya Magari yanayopigwa AC mna Wivu wa kitoto sana.
Lubasha Jr65,732 views • 14 days ago

Sometimes unaona vijana wanakua branded na media au Platorms mbalimbali kama sucessful business people lakini kumbe wapo stage za awali kabisa za kujenga biashara. Uwa inasaidia kwenye kukuza biashara kweli?au unajikuta unakuja Jina(person) ila biashara ina struggle 🙌🏼 Njinu hapa
Lubasha Jr72,657 views • 1 month ago

Kwa Unyenyekevu Mkubwa, Nawaletea hili jambo kutoka kwa mdau mmoja, mtu mwema sana. Ana mbuzi 198, wapo soko la Pugu, wana vibali na standard zote muhimu. Anauza Flat rate ya 150K mmoja. Natumai tutashirikiana mteja apatikana leo. 0762344677 Mungu awabariki sana 🙏🏼 Please share.
Lubasha Jr20,827 views • 1 month ago
1:11
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:45
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

KIWANJA KINAUZWA – MBEZI BEACH (ZENA) 📍 Location: Mbezi Beach, Zena – second plot kutoka baharini 📐 Size: 2,500 SQM 💰 Price: TZS 3.9 Billion (Negotiable) ✅ Eneo zuri sana kwa uwekezaji (residential/commercial) ✅ Karibu na bahari ✅ Upatikanaji wa huduma muhimu kwa urahisi.
Lubasha Jr17,095 views • 2 months ago

Sijawahi kuona parenting imerahisishwa namna hii. Mtoto apewe maarifa, maadili, mpe ujuzi 👏🏻👏🏻👏🏻
Lubasha Jr103,312 views • 2 years ago