
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
@Roma_Mkatoliki • 1,352,327 subscribers
Rapper/Songwriter/Activist🎤
Shorts
Videos

Only Ronaldo_Nazario_De_Lima & Elie_Mpanzu 💪 Ka’ napiga aaaaf nafinya 👌
#NIPENI_MAUA_YANGU💐30,117 Aufrufe • vor 7 Tagen

Bado Vita Havina #SULUHU Na Kupona Ni #MAJALIWA 6/6 Save The Date 💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐415,045 Aufrufe • vor 2 Jahren

Kuendelea kukaza shingo na kukataa kuwa shida haipo ndio mnazidi kuleta chaos, hasira na chuki dhidi ya raia kwa serikali. Kukubali na kukiri kuwa mnakosea ndomana hampendwi sio unyonge…ndio initial steps za kuanza kupunguza chuki na hasira za wananchi!! Hampendwi kutokana na matendo yenu….Period‼️ Do not underestimate the power of social media….kwa kusema ni 1% tu ya watanzania. Unachokiona social media ndio sample ya uhalisia ulioko mtaani!! Hata hospital hawakufyonzi damu yote mwilini au kukuchukua damu ya kila kiungo cha mwili ili wakupime malaria,typhoid au ngwengwe…NO!! Watachukua ka~sample kadogo tu ka damu tena kwenye kidole ndio kataenda kutoa majibu ya mwili mzima!! Kubalini na mkiri mmeteleza mliponye taifa, otherwise kwa Ego mnayoendelea nayo, watu wataendelea kufurahia na kushangilia misiba ya viongozi na changamoto wanazopitia. Haya kama ni Social media ni 1% ya watanzania mbona TBC (Instagram) mmefunga comments? Unaiogopaje 1% na wakati una 99% mtaani?🤷♂️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐28,976 Aufrufe • vor 1 Monat

Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70
#NIPENI_MAUA_YANGU💐103,810 Aufrufe • vor 6 Monaten

Hii Mid ya Colombia isingem-push GOAT la dunia…..aaah huu mu-Acrobatic ulikuwa walete kati😁
#NIPENI_MAUA_YANGU💐46,350 Aufrufe • vor 3 Monaten

New Song Is Out 🔥 🔥 #BlackBelt🏆 #Stamina #Roma #Khaligraph #Gnako Link on my bio 👆
#NIPENI_MAUA_YANGU💐31,837 Aufrufe • vor 2 Monaten

#TUPENI_CHETU 💴💰 IS OUT NOW 🔥 ENJOY THE NEW SOUND 🏆 Link 👇🏻 AND
#NIPENI_MAUA_YANGU💐306,909 Aufrufe • vor 3 Jahren

Yaani hii michezaji inaonaga kama jukumu la kukemea maovu sio lao ni la wanasiasa tu!! Africa tumeungana bana mbona Congo tunawasapoti wanetu! Wao wenyewe S.A ndio hawataki tuungane wanatimua na kupiga ndugu zetu! Halafu kwenye soka wanataka tuungane!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐43,995 Aufrufe • vor 4 Monaten

Its 2026 still Joe Crack anachapa Play Back🤷♂️ Angekuwa msanii wa bongo sasa hapo, ndo’ ile kunya anye kuku!! Tukubaliane tu hii issue ya playback ni dunia nzima wanafanyaga!! tusilaumu tu wasanii wa home!! Hata Rozey tena yule ndo anachapa sanaaaa playback hana habari!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐18,936 Aufrufe • vor 1 Monat