
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
@Roma_Mkatoliki • 1,352,327 subscribers
Rapper/Songwriter/Activist🎤
Shorts
Videos

Kuendelea kukaza shingo na kukataa kuwa shida haipo ndio mnazidi kuleta chaos, hasira na chuki dhidi ya raia kwa serikali. Kukubali na kukiri kuwa mnakosea ndomana hampendwi sio unyonge…ndio initial steps za kuanza kupunguza chuki na hasira za wananchi!! Hampendwi kutokana na matendo yenu….Period‼️ Do not underestimate the power of social media….kwa kusema ni 1% tu ya watanzania. Unachokiona social media ndio sample ya uhalisia ulioko mtaani!! Hata hospital hawakufyonzi damu yote mwilini au kukuchukua damu ya kila kiungo cha mwili ili wakupime malaria,typhoid au ngwengwe…NO!! Watachukua ka~sample kadogo tu ka damu tena kwenye kidole ndio kataenda kutoa majibu ya mwili mzima!! Kubalini na mkiri mmeteleza mliponye taifa, otherwise kwa Ego mnayoendelea nayo, watu wataendelea kufurahia na kushangilia misiba ya viongozi na changamoto wanazopitia. Haya kama ni Social media ni 1% ya watanzania mbona TBC (Instagram) mmefunga comments? Unaiogopaje 1% na wakati una 99% mtaani?🤷♂️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐28,976 次观看 • 1 个月前

Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70
#NIPENI_MAUA_YANGU💐103,810 次观看 • 6 个月前

Its 2026 still Joe Crack anachapa Play Back🤷♂️ Angekuwa msanii wa bongo sasa hapo, ndo’ ile kunya anye kuku!! Tukubaliane tu hii issue ya playback ni dunia nzima wanafanyaga!! tusilaumu tu wasanii wa home!! Hata Rozey tena yule ndo anachapa sanaaaa playback hana habari!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐18,936 次观看 • 1 个月前