
Ahmed Ally
@ahmed__ally • 744,163 subscribers
Media & Communication Manager Simba Sports
Shorts
Videos

Huyo Kocha anaekuja Simba Sports hajawahi kutokea wa mfano wake katika ardhi hiii
Ahmed Ally148,584 görüntüleme • 2 yıl önce

Kwenye kila kundi la michuano ya CAF kuna timu inagawa utamu kwa wenzie
Ahmed Ally43,769 görüntüleme • 1 yıl önce

Nilivyoona hii picha ya Captain katoa macho nikasema tayari tumeingia Fainali
Ahmed Ally35,308 görüntüleme • 1 yıl önce

Ndoto ya mtu hutimizwa na mtu mwenyewe Leo ninayofuraha ya kutimiza ndoto ya kuanzisha kampuni yangu ya kuagiza magari Nje ya Nchi iitwayo Automedali Tz Limited Ofisi za Automedali Tz Limited zipo Jijini Dar Es Salaam, Katika Jengo la Dar Free Market Kampuni yetu imetawaliwa na weledi na uaminifu wa hali juu na Magari tunayoagiza yana ubora usiomithilika Tupigie 0748 89 88 88
Ahmed Ally56,435 görüntüleme • 3 yıl önce

𝑴𝒂𝒋𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒚𝒂𝒑𝒐 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎𝒖 Coco Gauf ni mcheza Tennis chipukizi kutoka Marekani Aliposhinda taji la kwanza wenye roho mbaya wakasema amebahatisha na shughuli yake imeishia hapo hatofanikiwa tena Wiki mbili baadae akashinda taji la pili, Wavimba macho wakasema hili taji ni kubwa sana hatoweza kushinda tena Wiki tatu baadae Coco wetu ameshinda taji kubwa zaidi la Us Open Coco na yeye alivyo na nongwa akawapa makavu wote waliokua wana mnanga na kumbeza Coco amewashukuru wale waliyokua hawamuamini na amesemaq walidhani wanamwaga maji kwenye moto kumbee walikua wanapuliza gesi na matokeo yake moto ukashika kasi Point ya kuchukua hapa, Haijalishi hawakuamini kiasi gani au wanakuponda kiasi gani lakini usiache kufanya unachofanya siku moja watapigia makofi
Ahmed Ally55,510 görüntüleme • 3 yıl önce

Safari ya kuitafuta Ndola inaendelea, Nami nakula maisha kwenye Bus
Ahmed Ally54,468 görüntüleme • 3 yıl önce