Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ubaya Ubwelaa
47,987 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
32 Yorum

Aliyekuja na wazo la ubaya ubwela alitisha sana

Ila simba

Hilo Bango liende Taifa

Hua Ni sis Kwanza wao wanafata

Ahmed ally mmoja sawa na manara kumi Ali simba kamwe sabini na binti shayoo miatatu na ibwe kifungashioooo

simba sokwe wa mashujaaa namuona hapo

Unapiga kazi sana aisee

SIMBA BABA LAO

Hii timu inafanana kila kitu na Mwanjesta wa pale kwa Malkia Nyuki 🤣

Awaamini

Bado utapigwa

Ubays ubwela

Liwepo uwanjani kwa mashabik siku ya mechi

Ubuyu uboya😆😆😆

Ubaya Ubwela

Bado kulipiga uwanjaniii bango la hivii

Lampars electronics😂😂😂😂

mmmmmmmmmh mtani hainogi hiyo

Namaoni kaka simba Day mashabiki wakae uwanjan kwa Aina za rangi za jezi mwekundi ,upande wake Nyeupe na bulu Upande wao itapendeza Sana

#simbaday2024

Tukutane kwa mkapa uwanja ukatapike Asubui saa 4 Mapemaaaaaaaaaaa #UbayaUbwela #AhmedAlly #ThisIsSimba

Alafu BANGO la CHAMA wanaenda kuliweka hapo mbele!!! yatazamane😂😂😂😂😂😂

hongeren sana

Bado amjasema

#simbaday2024

Udugu Umala

Ubaya ubwela

✊

ubunifu zero

#ubayaubwela

Hivi Vyumba vya Juu bado machimbo ya DD poa??

Ubaya Ubwela 👊
Benzer Videolar
Sensitive content
Ubaya Ubwela 💪🏽 #nguvumoja #simba #mocola
Mohammed Dewji MO
53,979 görüntüleme • 1 yıl önce
Sensitive content
Mkiachana msiachane kwa Ubaya & visasi Ex wako uweze kumualika kwenye harusi yako
Adamoo
98,975 görüntüleme • 4 ay önce
