
Ahmed Ally
@ahmed__ally • 741,964 subscribers
Media & Communication Manager Simba Sports
Shorts
Videos

Ndoto ya mtu hutimizwa na mtu mwenyewe Leo ninayofuraha ya kutimiza ndoto ya kuanzisha kampuni yangu ya kuagiza magari Nje ya Nchi iitwayo Automedali Tz Limited Ofisi za Automedali Tz Limited zipo Jijini Dar Es Salaam, Katika Jengo la Dar Free Market Kampuni yetu imetawaliwa na weledi na uaminifu wa hali juu na Magari tunayoagiza yana ubora usiomithilika Tupigie 0748 89 88 88
Ahmed Ally56,435 次观看 • 3 年前