
Sammy Awami
@awamisammy • 22,211 subscribers
Father | Son | Journalist | Citizen.
Shorts
Videos

Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi; 1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu. 2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati. 3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana. 4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana nią ya dhati ya kuyatatua. 5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.
Sammy Awami28,393 просмотров • 8 месяцев назад

Tatizo tunalo, lakini tatizo letu kubwa zaidi ni KUFICHA tatizo tulilonalo!
Sammy Awami22,646 просмотров • 8 месяцев назад

Ukiskia neno 'serikali' unaweza kudhani kwamba wanajua kila kitu wanachokifanya. Kumbe.....
Sammy Awami12,864 просмотров • 3 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки