Godbless E.J. Lema's banner
Godbless E.J. Lema's profile picture

Godbless E.J. Lema

@godbless_lema1,247,191 subscribers

Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father

Shorts

Commitment means victory.

Commitment means victory.

249,408 次观看

Sugu - KAHAMA.

Sugu - KAHAMA.

11,716 次观看

Mungu Mwema Sana.

Mungu Mwema Sana.

82,511 次观看

We told you !!!

We told you !!!

73,935 次观看

Very Sad,watoto na wajukuu zenu walipe damu za vijana hawa.

Very Sad,watoto na wajukuu zenu walipe damu za vijana hawa.

202,850 次观看

HAKUNA UCHAGUZI.

HAKUNA UCHAGUZI.

121,981 次观看

Mwanzo 4:10 BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.

Mwanzo 4:10 BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.

46,245 次观看

Kuna marekebisho ya kisaniii yanayo endelea ktk barabara ya Haile Selassie Rd, Dar es Salaam , lami inawekwa juu ya barabara ya lami inayorekebishwa bila barabara hiyo kuondolewa vumbi. Ujinga mkubwa huu.

90,098 次观看

Asante sana sana.

Asante sana sana.

40,083 次观看

Chukua hii.

Chukua hii.

13,639 次观看

No Reforms No Election

No Reforms No Election

28,792 次观看

Nimepishana na msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi hapa maeneo ya Mingoyo una magari mengi sana ya kifahari wkt sura ya Mkoa inaakisi unasikini wa kiwango cha juu sana. Tunahitaji mabadiliko makubwa.

Nimepishana na msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi hapa maeneo ya Mingoyo una magari mengi sana ya kifahari wkt sura ya Mkoa inaakisi unasikini wa kiwango cha juu sana. Tunahitaji mabadiliko makubwa.

40,362 次观看

Hatari kubwa tunayokabiliana nayo leo si tu umaskini wa mali, bali ni umaskini wa fikra,hali ya watu kuamini kwamba kukosa ni sawa,kwamba mateso ni kawaida,na kwamba kutodai haki ni unyenyekevu.Tumeanza kuihalalisha hali ya dhiki na kuiweka ndani ya akili zetu na kusema “ndivyo ilivyo.” Tumeanza kufanya umaskini kuwa wa kawaida (normalize poverty).Tumefikia mahali ambapo: - Kupanga foleni ya maji saa 10 usiku ni kawaida (normalized) -Kukosa dawa hospitali ni kawaida (normalized) -Kuishi bila ajira miaka 10 ni kawaida (normalized) -Kuishi kwa hofu ya kusema kweli ni kawaida (normalized) -Watu kuteswa na kupotea hata kufa ni kawaida (normalized) Lakini huu si uvumilivu ni kuvunjwa kwa fikra muhimu za ndani. Ni utumwa wa kiakili uliopambwa na maneno ya “subira” na “imani.” “Ukimfundisha mtu kuishi na kidogo, atasahau kuwa ana haki ya kupata kikubwa.”Tuna kazi ya kufanya: Kuvunja uongo huu wa kisasa. Kuwakumbusha watu wetu kuwa, Kukosa na umasikini si sehemu ya utu wa mwanadamu bali ni hali inayopaswa kubadilishwa.Ukishaweza kuvunja mnyororo wa fikra uliotufanya tuone umaskini kama kawaida,ndipo tutaanza kweli kupigania maisha yenye heshima.

19,794 次观看

Videos

godbless_lema's profile picture

Sikutilia maanani sana hizi video mwanzoni. Lakini nilianza kuziangalia kwa uzito zaidi pale nilipogundua kuwa maudhui ktk video hii yaliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa gazeti la Habari Leo, gazeti la serikali, na baadaye yakaondolewa. Na haya ni maneno ya Makamu wenu wa Rais. Kinachonishangaza ni kwamba maudhui yaliyomo yanalenga kukemea ufisadi wa fedha za umma na viongozi kuacha kujinufaisha. Swali la msingi linaanzia hapa, kama maneno ya aina hii yanaweza kuonekana mabaya kiasi cha kuondolewa, basi wale wananchi wote wenye akili na mapenzi ya nchi wanapaswa kujiuliza kwa kina mwelekeo wa zaidi tunaokwenda. Je, ni rahisi kwa mhariri kuamua kuondoa maudhui yanayomhusu kiongozi wenu wa juu namna hiyo bila maelekezo kutoka juu? Na huko juu ni wapi ? Kuna hadithi moja huko Italia , askari wa barabarani alisimamisha gari , alipokuwa anakagua, akagundua kuwa aliyekuwa anaendesha alikuwa PAPA , ghafla alianza kukimbia kwa speed kali huku akitokwa jasho !! Wenzake walimuona na kumfuata na kumuuliza , nini kimekupata ? Alijibu , nimesimamisha gari nikakuta PAPA anaendesha akiwa na abiria mmoja , akaendelea kusema , nafikiri huyo abiria lazima atakuwa YESU !! Tafakari. Huyu ni Makamu wa Rais wa serikali yenu mliyopata kupitia uchaguzi uliokuwa na maumivu makubwa kwa taifa. Mnaondoa video kama hii ktk kurasa zenu, meseji kwa umma ni moja , Amkeni sasa na sio baadae, maana Cartels wako RADA. Nina hofu kuhusu kesho ya Tanzania. Si kwa sababu hakuna watu wenye uwezo, bali kwa sababu ukimya unapokuwa kawaida, hata mambo yasiyostahili yanaendelea kuonekana ya kawaida. Hapo ndipo hatari kubwa. CCM, mnapaswa kutafakari kwa kina. Historia ina tabia ya kurudia matokeo yake pale pale makosa yanapopuuzwa. Hii si wakati wa kiburi, bali ni wakati wa kurekebisha mwelekeo kwa ajili ya taifa. Kila maumivu mliyowapatia wa Tanzania , mtalipa na Nchi itaharibika sana. Maisha ya Nchi sio ushabiki wa michezo.

Godbless E.J. Lema

62,862 次观看 • 1 个月前

godbless_lema's profile picture

Msajili aione hii.

Godbless E.J. Lema

23,107 次观看 • 20 天前

godbless_lema's profile picture

Mungu akubariki sana.

Godbless E.J. Lema

52,936 次观看 • 2 个月前