正在加载视频...
视频加载失败
Commitment means victory.
249,408 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Mapambano yalikuwa makali sana

"The Democratic Party's actions had left many U.S. citizens feeling humiliated. Signs of a Trump victory were proclaimed well before Biden withdrew from the race. The voters had had enough." 📝 @KarinaLMariani

Mtu na nusu 🔥

M-Canada, tupo na Join the Chain? if so, tumefanya Forensic Audit kwenye mfumo? Jambo hili ni muhimu sana wakati huu kuliko wakati wowote ule, ili tuanze ku-Pump fedha za maana twende kwenye operation za chama. "Viva CHADEMA"🤛🤛

MHESHIMIWA HII COMMITMENT YA HALI YA JUU MNO, CONGRATULATIONS. NB. MHESHIMIWA MKITULIA NAKUOMBA KWA UNYENYEKEVU SANA ONGEA NA VIONGOZI WENZIO MTULETEE MHE ODERO ODERO TAFADHALI, MSIMUACHE APOTEE NI MJENZI MZURI SANA WA HOJA, ATAKISAIDIA CHAMA. RETWEET KAMA PIA UNATAMANI HILO.

Godiiiiiiiiii🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭

Kaka lema kazi uliyoifanya toka mwanzo wa kampeni mpaka siku ya uchaguzi ni kazi iliyotukuka mwenyezi mungu akubariki Sana 👏✊🙏

Kwenye twt ya Maria siku ile nilisema hivi ikimhusisha Lema na usinichi: Nimeona wakimsema nikabaki nashangaa tu. Moja ya icon za chama ambao hana ndimi mbili kutoka kaskazini ni Lema. Alikuwepo the late Ndessambulo ila kwa sasa ni Lema. A real patriots of game. Never doubt him.

Mh. Lema mno, kwako, kwa chama na kwa matokeo ambayo wote tunayufurahia na kufarijika nayo. Mimi ni shabiki yako mzuri tu. Nitafarijika nikipata follow moja ktk kwako. Asenti & ubarikiwe

Timu ya ushindi hongereni sana

Aisee kumbe haya mambo ni mshike mshike hivi


