
Lucas E. Malembo
@MalemboLE • 39,005 subscribers
| CEO, @MalemboFarm ‘s | 🇹🇿Leading Sustainable Agribusiness & Nutrition for over a decade | AfCFTA Advocate | 2025 IVLP Alumnus 🇺🇸| Content with Enough.
Shorts
Videos

Nikiwaza niliagiza mashine ya kuchakata/kusanga kisamvu China, najiona Mjinga kabisa.
Lucas E. Malembo118,773 görüntüleme • 1 yıl önce
4:20
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Bwana u sehemu yangu, rafiki yangu wewe Katika safari yangu, tatembea na wewe Pamoja na wewe, pamoja na Wewe Katika safari yangu, tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka, ili niheshimiwe, Na yanikute mashaka, sawasawa na wewe Pamoja na wewe, pamoja na wewe Heri nikute mashaka sawasawa na wewe. Niongoze safarini Mbele unichukue Mlangoni mwa Mbinguni, niingie na wewe Pamoja na wewe, pamoja na wewe Mlangoni mwa Mbinguni, niingie na wewe.
Lucas E. Malembo54,068 görüntüleme • 1 yıl önce

Mungu tusaheme kutokuelewa kwetu, Afrika hatukupaswa kuwa hapa.
Lucas E. Malembo47,015 görüntüleme • 1 yıl önce

Pale Handeni kuna Ekari kumi, kuku laki moja wa kienyeji wanakaa vizuri kabisa. #KilimoNiAjira
Lucas E. Malembo33,012 görüntüleme • 1 yıl önce

Ungependa kuwa na Mabanda ya aina hii karibu Malembo Farms
Lucas E. Malembo36,220 görüntüleme • 1 yıl önce

Tunajifunza kwanza kabla ya kuchukua hatua. Hili ni jambo kubwa na muhimu sana katika sekta ya kilimo.
Lucas E. Malembo30,902 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.