
Lubasha Jr
@MarekaMalili • 679,781 subscribers
|Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Shorts
Videos

Vijana msio na Yard ya Magari yanayopigwa AC mna Wivu wa kitoto sana.
Lubasha Jr66,080 Aufrufe • vor 1 Monat

Sometimes unaona vijana wanakua branded na media au Platorms mbalimbali kama sucessful business people lakini kumbe wapo stage za awali kabisa za kujenga biashara. Uwa inasaidia kwenye kukuza biashara kweli?au unajikuta unakuja Jina(person) ila biashara ina struggle 🙌🏼 Njinu hapa
Lubasha Jr72,730 Aufrufe • vor 2 Monaten

Kwa Unyenyekevu Mkubwa, Nawaletea hili jambo kutoka kwa mdau mmoja, mtu mwema sana. Ana mbuzi 198, wapo soko la Pugu, wana vibali na standard zote muhimu. Anauza Flat rate ya 150K mmoja. Natumai tutashirikiana mteja apatikana leo. 0762344677 Mungu awabariki sana 🙏🏼 Please share.
Lubasha Jr20,910 Aufrufe • vor 2 Monaten

Kama mlidhani yataishia Bungeni, watu ndio kwanza wapo kazini 😂
Lubasha Jr89,960 Aufrufe • vor 1 Jahr

Nchi zetu hizi Watu watukutu uwa wanatoboa kuliko wapole, very interesting. Nadhani ishu ni Uthubutu.
Lubasha Jr21,959 Aufrufe • vor 3 Monaten
1:11
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:45
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Sijawahi kuona parenting imerahisishwa namna hii. Mtoto apewe maarifa, maadili, mpe ujuzi 👏🏻👏🏻👏🏻
Lubasha Jr103,322 Aufrufe • vor 2 Jahren