
Mbunge Wa Taifa
@mbunge_taifa255 • 3,232 subscribers
🇹🇿 Mbunge wa Taifa Taifa linakombolewa kwa sauti za watu, Sio Hofu! #YouthVoice #MbungeTaifa
Shorts
Videos

Wauaji walimualika Benny Hinn aje Tanzania kwa mwaliko wao, Lengo kuhadaa Watanzania Kabla hajaja akampigia simu Apostle Mwingira maana ni marafiki, Apostle akasema mimi siwezi kutumika kusafisha damu za watu, Kama unakuja uje kivyako, ila mimi siwezi kuja kukupokea!
Mbunge Wa Taifa29,206 просмотров • 13 дней назад

afande hajui chochote kuhusu katiba ye anachojua ni kufuata maagizo kutoka juu😂
Mbunge Wa Taifa61,248 просмотров • 2 месяцев назад

Tanzania ya Mwalimu Nyerere iliyotoa watu na mali kupigania uhuru wa Afrika. Tanzania iliyotoa ardhi yake kuweka vituo vya mafunzo wa wapigania Uhuru kwenye bara la Afrika. Leo Tanzania ndio inatajwa kwa kutoa mercenary kwenda kuvuruga chaguzi kwenye Nchi za watu wengine!!!
Mbunge Wa Taifa20,634 просмотров • 23 дней назад

MSIKILIZE KWA MAKINI MAMA MARIA NYERERE AKIONGEA JUU YA KIZAZI KIPYA GENZ
Mbunge Wa Taifa36,973 просмотров • 2 месяцев назад

Father Kitima huwa hapindishi kanyooka kama rula. Nchimbi anaigiza! Anatudanganya. Roma Locuta; Causa Finita est.!
Mbunge Wa Taifa22,507 просмотров • 1 месяц назад

HAMTAFANIKIWA KUTUUA KUPINDI HIKI, WATANGANYIKA SIO WAJINGA REPOST KWA WINGI
Mbunge Wa Taifa34,079 просмотров • 2 месяцев назад

Kwanini amteke Msaidizi wa Lissu? Nini kimepelekea watake kumuua? Kuna siri gani kati ya kesi ya mchongo ya lissu na huyu msaidizi? Ila Mafwele umetumika vibaya sana halafu huna hata faida unayopata kwa sasa zaidi ya Laana ya Damu za wote uliowateka na uliowaua #TUTAELEWANATU!
Mbunge Wa Taifa48,299 просмотров • 3 месяцев назад