
Mbunge Wa Taifa
@mbunge_taifa255 • 3,232 subscribers
🇹🇿 Mbunge wa Taifa Taifa linakombolewa kwa sauti za watu, Sio Hofu! #YouthVoice #MbungeTaifa
Shorts
Videos

Wauaji walimualika Benny Hinn aje Tanzania kwa mwaliko wao, Lengo kuhadaa Watanzania Kabla hajaja akampigia simu Apostle Mwingira maana ni marafiki, Apostle akasema mimi siwezi kutumika kusafisha damu za watu, Kama unakuja uje kivyako, ila mimi siwezi kuja kukupokea!
Mbunge Wa Taifa29,206 次观看 • 13 天前

Tanzania ya Mwalimu Nyerere iliyotoa watu na mali kupigania uhuru wa Afrika. Tanzania iliyotoa ardhi yake kuweka vituo vya mafunzo wa wapigania Uhuru kwenye bara la Afrika. Leo Tanzania ndio inatajwa kwa kutoa mercenary kwenda kuvuruga chaguzi kwenye Nchi za watu wengine!!!
Mbunge Wa Taifa20,634 次观看 • 23 天前

Kwanini amteke Msaidizi wa Lissu? Nini kimepelekea watake kumuua? Kuna siri gani kati ya kesi ya mchongo ya lissu na huyu msaidizi? Ila Mafwele umetumika vibaya sana halafu huna hata faida unayopata kwa sasa zaidi ya Laana ya Damu za wote uliowateka na uliowaua #TUTAELEWANATU!
Mbunge Wa Taifa48,299 次观看 • 3 个月前