#NIPENI_MAUA_YANGU💐's banner
#NIPENI_MAUA_YANGU💐's profile picture

#NIPENI_MAUA_YANGU💐

@Roma_Mkatoliki1,351,380 subscribers

Rapper/Songwriter/Activist🎤

Shorts

Fred that was MECHI ZA UGENINI (2010) ilitoka baada ya kutoa Tanzania & Mr President…..sijui ulikuwa wapi miaka hiyo….nways!! Sasa wimbo wa Mr. President uliniletea shida na utawala wa kipindi kile (JK)baada ya kuperfom wimbo huo kwenye uzinduzi wa Malaria Campaign Mnazi Mmoja mbele ya viongozi, na Basata walinizingua sana!! Through Ruge tukayamaliza na nikaenda sawa na utawala pamoja na basata…… Sasa nikatakiwa kuja na a Comeback song….Ndio nikaja na Mechi za ugenini!! Upo???! “Hakuna Utata Mbaratata” It was a phrase alikuja nayo Ncha kali, ikawa inatumiwa sana na XXL clouds hasa Dj Fetty & Mchomvu & Dozen na ulikuwa ni msemo pendwa sana kwa fans kuelekea fiesta ambapo ndio wimbo ulitoka msimu huo! Hakuna utata mbaratata Ilimaanisha hakuna noma ni fresh tu… Ni slang hiyo. So nilikuwa nina adress message kuwa nimeshayamaliza na gavoo plus basata and now i’m free So J ryder endelea kunyonga beat kama kiuno cha Yondo sister/ Mimi ndio mtoto wa Jakaya hadi ikulu napiga chata/ Hakuna utata mbaratata nasimama mpaka basata/ Vaa gucci vaa supra na show nitakufunga supa/ Means Rider tuendelee kugonga mangoma coz utawala hauna noma na mimi tena nisha sort nao, ninaweza kupiga chata hadi ikulu mimi mtoto wa Jk now! Hakuna tena utata now ni fresh yani mbaratata naweza simama hadi basata!! Wale haters mabishoo waliodhani nimepotea…. ndio nawaambia Vaa gucci vaa supra…Mimi nakuja na Dickiez za kaki na all star shoe na bado show nakufunga super!! THAT WAS THE STORY YA HIYO LINE!! Na ni wimbo una miaka 16 lakini ndio number 1 jukwaani hadi sasa!!

47,048 görüntüleme

Rhymes Of Magic Attraction (R.O.M.A) 🏆

Rhymes Of Magic Attraction (R.O.M.A) 🏆

101,935 görüntüleme

Cuba 🇨🇺 Leo Mchana

Cuba 🇨🇺 Leo Mchana

100,866 görüntüleme

Hivi bongo tuna mwanamke kwenye meza ya uchambuzi?

22,918 görüntüleme

Kamkubwa Familia Kabisa Huyu Basi Tu!!

Kamkubwa Familia Kabisa Huyu Basi Tu!!

102,934 görüntüleme

Hip hop Icon🤠 Nipe mifano ya ufundi unaouongelea nijifunze!! 🎶 Mi ndiyo king nisiye na kiki so usiniite Kingkikii 💔 Si ndio ufundi wa hao unaowaona mafundi!! Hebu twende kwa facts!!

23,102 görüntüleme

Mmoja Kafanya Hivi Aaaf Mwingine Kafanya Hivi!! 😁😁😁😁 What a meme

42,910 görüntüleme

Kabla Hajamalizia Tunatiki😁

Kabla Hajamalizia Tunatiki😁

40,862 görüntüleme

My niggas couldn't read, had impediments But they never would leave any evidence Your mother still in pain, it been a few days But you notice all it came with minimum wage 🗣️

11,281 görüntüleme

Nyie Huyuuu😁😁😁 Ujue hapo limeshika Tambo ni linaBet kwanza😁 Linasuka mkeka halafu ndio lizame huko kwenye IYENA IYENA😁 Sema acha lipambane tu nyama ngumu Mi kuna muda nalielewa😁

47,371 görüntüleme

YAANI MUDA KAMA UNACHELEWA YANI!!

YAANI MUDA KAMA UNACHELEWA YANI!!

70,320 görüntüleme

#TEREMSHA_BUNDUKI 🏆 Link 👇🏻

#TEREMSHA_BUNDUKI 🏆 Link 👇🏻

26,853 görüntüleme

HARAGE LA MAMA😁 Hapa mchawi nini?

HARAGE LA MAMA😁 Hapa mchawi nini?

37,756 görüntüleme

Kama mabinti wadogo warembo kama hawa tu -Wanakataa utekaji. -Wanakemea uovu wa gavoo. -Wanapinga ufisadi -Wanakemea uchawa uchawa -wanadai reforms Wewe na ndevu zako unaendaje Kutiki?🤷🏿 Unaendaje kuhalalisha uhuni wa kisiasa? COME ON MAN GO AND LISTEN #ABDUL SONG

29,290 görüntüleme

Nimerudia kutazama tena match!! OFF SIDE

21,057 görüntüleme

Happy Eid al-Adha 🤲 عيدكم مبارك

Happy Eid al-Adha 🤲 عيدكم مبارك

13,527 görüntüleme

Sisi Tulikuwa Tunaimba “UKIPENYEZA UMEPATA HUOOO” Kumbe Ni “Et on dit premier gaou n'est pas gaou oh” Akiwa Ana Maana Ya “And We Say First Fool Is Not Fool Ooh!!”

12,094 görüntüleme

Videos

Roma_Mkatoliki's profile picture

LIFE…..Sometimes 🥺💔

#NIPENI_MAUA_YANGU💐

195,236 görüntüleme • 1 yıl önce

Roma_Mkatoliki's profile picture

Sometimes…….

#NIPENI_MAUA_YANGU💐

19,069 görüntüleme • 1 ay önce