
Sia Da Vinci💎
@siadevinci • 45,675 subscribers
Geopolitics and what's going on in the world from my own perspectives. Terrorising Misinformation. 🥵Hate Politicians!
Shorts
Videos

Kuna watu huwaambii kitu juu ya marekani wakakuelwa vichwa vmeshajaa Hollywood movies.
Sia Da Vinci💎175,634 views • 3 years ago

Unakuta et Muafrica anajiita msomi na bila Aibu na Twitter handle yake kaweka sijui PhD, Prof, etc ila hata wameshindwa kungamua hili. Na bado wanaendelea kutoa elimu ile ile ya hovyo kwa vizazi vyetu. Hivi wasomi wa Africa mnashindwa nini kuchora Ramani sahii ya Africa?
Sia Da Vinci💎68,089 views • 2 years ago

Gari maalumu ambalo wanajesh wa Urusi wanatumia kufua nguo na kuoga katika uwanja wa vita.
Sia Da Vinci💎19,618 views • 3 years ago
No more content to load
