
Blessed Tillah (MBARIKIWA)
@TillahBlessed • 14,487 subscribers
NAMUOGOPA MUNGU PEKEE 📌
Shorts
Videos

Hii ni kubwa sana lakini hii inaacha deni na ina maana kubwa sana kuliko watu wanavyoweza kuichukulia. Zuchu anatakiwa awe makini sana maneno anayoyatumia sasa hivi kwenye nyimbo zake sio vibaya akipunguza matumizi ya maneno ya utu uzima sana kwenye nyimbo zake kwa sababu like it or not mashabiki zake wakubwa sana sasa hivi ni watoto wadogo tena chini ya umri wa miaka 10.
Blessed Tillah (MBARIKIWA)346,824 Aufrufe • vor 2 Jahren
0:26
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kifo kiniue au maumivu yanikomaze yote tisa ila ujinga usinipumbaze 👊🏾
Blessed Tillah (MBARIKIWA)44,988 Aufrufe • vor 1 Jahr

Sasa hapa kosa langu mimi ni lipi? 😒 Unamuuliza mtu swali kwa wema anakasirika anaondoka duuh🙌🏾
Blessed Tillah (MBARIKIWA)23,028 Aufrufe • vor 10 Monaten