
Blessed Tillah (MBARIKIWA)
@TillahBlessed • 14,487 subscribers
NAMUOGOPA MUNGU PEKEE 📌
Shorts
Videos

Hii ni kubwa sana lakini hii inaacha deni na ina maana kubwa sana kuliko watu wanavyoweza kuichukulia. Zuchu anatakiwa awe makini sana maneno anayoyatumia sasa hivi kwenye nyimbo zake sio vibaya akipunguza matumizi ya maneno ya utu uzima sana kwenye nyimbo zake kwa sababu like it or not mashabiki zake wakubwa sana sasa hivi ni watoto wadogo tena chini ya umri wa miaka 10.
Blessed Tillah (MBARIKIWA)346,824 views • 2 years ago
0:26
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kifo kiniue au maumivu yanikomaze yote tisa ila ujinga usinipumbaze 👊🏾
Blessed Tillah (MBARIKIWA)44,988 views • 1 year ago