
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
@zittokabwe • 1,669,975 subscribers
Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Videos

Mimi pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara Ester Akoth Thomas na wenzetu Janeth Joel Rithe Halima Nabalang’anya Kiza Mayeye. tukiambatana na watendaji kadhaa wa chama Kassala Jasper Kido na Wajumbe wa Kamati Kuu Mtutura Abdallah tulipewa jukumu la kuzunguka kwa siku 15 za Operesheni Maji Maji.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe36,831 görüntüleme • 1 yıl önce

Sababu 3 za kushiriki uchaguzi 1. Tunashiriki ili kwenda kulinda thamani ya kura 2. Tumejiridhisha kuwa uamuzi wa ACTWazalendo kususia uchaguzi utafurahiwa na CCM. 3. CCM imeshindwa kuendesha nchi na ni wakati muafaka ikae pembeni. #OperesheniLindaDemokrasia Ado Shaibu
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe40,569 görüntüleme • 1 yıl önce

Nakusalimu sana. Moyoni mwako najua unaamini hili. Ndicho kila mwana mageuzi duniani kafanya. Ndicho Bobi Wine kafanya, ndicho Mzee Besigye alifanya. Ndicho Maalim Seif alifanya. Ndicho HH alifanya. Walishiriki chaguzi huku wakipigania mageuzi. Hawakususa. Njia ya kususa ni njia nyepesi sana kuchukua na mara nyingi hufanywa na watu waoga au wanaotafuta visingizio tu
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe35,069 görüntüleme • 1 yıl önce

A tanzanian company making continental moves! PROUD
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe20,917 görüntüleme • 1 yıl önce

Kuna Hospitali na kuna Mloganzila. Uwekezaji huu uliofanywa hapa Ndio unapaswa kufanywa kuwa modeli ya hospitali za Kanda Nchi nzima. Katika Ilani yetu ya Uchaguzi ya ACT Wazalendo tuliahidi kujenga Hospitali kama Mloganzila katika mikoa ya Ruvuma, Mara na Singida. Ni wakati sasa Hospitali hii iwe Mloganzila National Hospital ijitegemee kama Taasisi Huru na itoke katika makwapa na Muhimbili. Mola awajaalie wote waliowaza, kubuni na kutekeleza wazo hili na Hospitali ya Mloganzila. Kwa Madaktari na Wafanyakazi wote wa Mloganzila, pongezi kwenu kwa kutunza viwango ( standards ). Kwako Balozi Togolani Mavura hivi haiwezekani Ndugu zetu wa Korea wakashusha kitu kama hiki pale Songea, Mara na Singida? Mloganzila Health Village is real deal!
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe24,845 görüntüleme • 3 yıl önce
Daha fazla içerik yok.