#d9

📍Mwanza #D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿 Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽 Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified #D9Tunatoka
Maria Sarungi Tsehai223,127 просмотров • 6 месяцев назад

Polisi wanazuia Bodaboda, Magari, Bajaji, hakuna kwenda Mjini. #D9
SIR TIVA148,081 просмотров • 6 месяцев назад

Hii ni MWANZA ILEMELA. #D9 Gen Z wapo na mabango yenye jumbe zao. Mlisema vijana wanafuata mkumbo haya soma MABANGO HAYO.
SIR TIVA117,132 просмотров • 6 месяцев назад

Makombelelo is the Gen z Tz official song of protest and today was played at the graduation where the guest of honor was Kikwete’s Son Ridhwani who is also an illegitimate minister of Samia Suluhu Fearless youth said #D9 Africa will be saved and Tanzania will be saved 🔥💪🏽 1,2,3,4 let’s goo #D9Tunatoka
Maria Sarungi Tsehai68,731 просмотров • 6 месяцев назад

Licha ya vikwazo vingi vya Polisi, Wananchi wanaendelea kuingia Barabarani na Mabango yao yenye madai ya msingi. #D9.
John Nguti Chadema56,203 просмотров • 6 месяцев назад

Asante Rachel Dangwa huu ni uwendawazimu na familia ndugu na jamaa wa hawa vijana waambiwe hii itawaletea kesi ya madai kama Musiba waachane nayo! ❌ Tuko serious wasizingue na mambo ya kuungaunga! Bora wasubiri wiki moja #D9 tutaikomboa Taifa maana hata mtoto mdogo leo amesikia dharau na chuki ya Jezebel. Tumekubaliana #SamiaMustGo si kwa masimango haya!
Maria Sarungi Tsehai41,202 просмотров • 6 месяцев назад


