Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Apewe ulinzi Mama Mkwe?✍🏼
158,031 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Sasa hapa anahalalisha kitu gani?🤔🤔

🤣🤣🤣🤣 David anakusalimia hapa wa NJ

David matata sana msalimie sana

Ukute mama mwenyewe Ni msimbe anapigwa na Jua mtaani Ndo mana anajua 😂

Sio ulinzi tuu na escorts Kila pahala,,, naaaaam

Mpaka sasa jwtz wanafanya nini,? apewe ulinzi haraka

Mpe namba yangu huku kwetu hakuna jua

Hapo kahamasisha cheating,. Hakuna la maana kaongea

Huko ni kumezeshena ujinga na kubariki ukahaba😢😪, Inasikitisha sana kuona mama Mkwe anaongea maneno kama hayo tena mbele ya hadhara, Kikubwa cha kuficha hasa ni nini?🤔🤔🤔😂😄 Nini maana ya kukuoa wewe sasa😂!!! Kwamba hiyo ni nafasi yako ya bahati, so umeolewa kwa huruma,Je mwanaume yeye sio nafasi ya bahati kwake😂!!! Je ni sahihi kukubali kuwa na Mtu kwa huruma yake si mapenzi yake!!!
Похожие видео
Sensitive content
Proffesor Chris Peter Maina!! Apewe maua yake!!
Jebra Kambole
38,781 просмотров • 1 год назад
Sensitive content
نحدف ورا ✍🏼 نحدف قدام✍🏼
Habiba.
68,052 просмотров • 1 год назад
