正在加载视频...
视频加载失败
Asanteni sana Morogoro...! No Reforms No Election
40,498 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Kaka morogoro mjini lini tafadhari 🙏 nilisikia ni Leo sema sijapata taharifa kamili naomb msaada tafadhari

@mchiziMonie Mji kasoro bahari wametuheshimisha sanaa. Kuanzia kwa watani nzangu,Wapogoro,Wakaguru mpaka Walugulu ni No reform No election.

𝐂𝐨𝐫𝐧𝐞𝐥 𝐖𝐞𝐬𝐭’𝐬 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐮𝐩 𝐖𝐢𝐭𝐡 𝐓𝐡𝐞 𝐆𝐫𝐞𝐞𝐧 𝐏𝐚𝐫𝐭𝐲 𝐃𝐨𝐨𝐦𝐞𝐝 𝐓𝐡𝐞 𝐋𝐞𝐟𝐭’𝐬 𝐓𝐡𝐢𝐫𝐝 𝐏𝐚𝐫𝐭𝐲 𝐄𝐟𝐟𝐨𝐫𝐭 The progressive third parties fighting against the status quo failed. What mistakes were made, and what can we learn? ★ NEW ARTICLE ⬇️

👀 tumeonana kaka🙏

Hongera sana mheshimiwa. Tunawapata vizuri Mmeonyesha umoja na mshikamano

Bony leo umelitendea haki jukwaa....! Hakika mmetutia sana moyo Maana wanamorogoro walikuwa hawaelewi hatma yao Hakika hizi ziara za kanda kwa kanda zina tija sana Nawaombeni makamanda mungu awatangulie mmalize kanda zote Kwamaana kila mnakopita mnabadirisha hali ya hewa ✌️

Mmmmh!!!!! Acha Uongo Kaka

Lugha pekee inayoeleweka na mashetani ya ccm

Kazi nzuri BIG

Ubarikiwe mstahiki meya
