Baba Levo kapiga kwenye mshono mbichi
@HildaNewton2196万 位关注者
66,727 次观看
31 条评论
评论来自 X (Twitter) 上的原帖

@JackxonP
Tena tikto huko kumejaa ufuska nje nje vitoto vinakesha live huko uchi kuongea ufuska dah afu leo waje tu kufungia x au waeshindwa kutafsiri mtandao wa x wakajua ni wa porno maana haya ma ccm 😁😁😁
5 个赞

@ayo85706
Sikuwai kujua kama baba levo ana hakili hv I appreciate you bro🙌🙌🙌🙌
4 个赞

@halid_71
UNAPENDWA unapozaliwa UTAPENDWA utakapofariki dunia. Hapa katikati utajua utakavyoishi mwenyewe!
3 个赞

@CharlesAnselim4
Ingelikuwa mimi ndie baba levo hiki kijeba ningekiuliza na mtandao wa club house ulikuwa unaonyesha video za maudhuri ya ngono ? Na kwanini mmeufungia , yaani huyo andunje angekuwa babu mpaka kipindi kingeisha
3 个赞

@isser26
Hawana nia ya kuifungia twitter ila wanatu keep busy tusijadili vitu vya msingi.....
2 个赞

@g_ki02
@HildaNewton21 Baba Levo anajua sana kutetea hoja zake
1 个赞

@AnthonyM10045
Tatzo siyo ushoga wala nini tatizo spana zimekuwa nyingi
1 个赞

@latariico
📌📌
1 个赞

@chuma_god
Na mimi tangu nimemjua baba Levo,hii ndio hoja yake ya nguvu na ya maana zaidi.
1 个赞

@PapaBravo_05
Aliwahi kuwa Diwani huyu so lazima umeme awe nao mwingi tu
1 个赞

@godson_salema
🔥🔥
1 个赞

@NiganileM13341
Budget inapita huko wanapunguza makali hamna cha x kufungwa .....Propaganda zinapigwa funika kombe mwanaharamu apite
1 个赞

@MANGI12MKINGA12
Et watoto wanatumia X ivi wanautani ukute ata awo wanao shadadia X awawezi akutumia🤣🤣🤣
1 个赞

@GSaronga86168
Kweli kabisa hoja dhaifu x ifungiwe kwa nini ?

@due_la_per
tatizo vijana wa sisiemu awana akili wanaacha kushughulikia mambo ya msingi wanaongea ujinga

@Abuy_0
Huyu jamaa kapasua jipu bila ganzi 🤣🤣 sijawah tafuta mambo hayo soo siwez faham wap ni pabaya Zaid lakn kiongozi huyu tapeli kaongea UGORO sana

@the_bdu
Mtanzania mwenzenu nimefanya hii naomba suport ni full poetry book 👇👇🤲

@MaduhuJohn2
Kipanya kapiga kwenye mshono kabisaaa

@DefenderKunta
Huku Kuna wenyewe

@HarunaMbwi25367
Shida wanapewa uongozi Akiwa Shule Tatizo x jaman











