Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Shida ilianzia hapa Msikilize Baba levo😂🙌
39,291 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 13

JANA KILIWAKA SANA KATI YA LUKAMBA NA WATANGAZAJI WA WASAFI ESPECIALLY BABA LEVO 🙌 Wakidai kwamba Lukamba aliamini kuwa akitoka kwa Diamond atafanikiwa zaidi😂. Sasa Lukamba na yeye hakutaka unyonge akawajibu😂😂🙌 Angalia mwenyewe hapo Shuka na uzi 🧵 👇 mfupi ⤵️

Kabla hujafika mbali usisahau kunifollow @zumbekhan tukuze familia 🙏

Lukamba akaona asikae kinyonge awajibu😂

Akajibu tena🙌

Lukamba 😂😂🙌

Luludiva akaona aingilie kati hili swala😂

Msikilize Mwarabu Fighter kumbe na yeye ilikuwa hivyo hivyo😂

Usisahau kunifollow @zumbekhan halafu endelea kuenjoy 🙌

Kama unavyojua wabongo hawana dogo wakaanza kucomments 😂

Comment 👇

Ila wabongo bhana hawana dogo 👇😂

Hakikisha una nifollow ili usipitwe na habari nzuri kama hizi AHSANTEE 🙏

Post nyingine hii hapa Fungua 👇
