Loading video...
Video Failed to Load
Bila shaka huyu sio M'bongo
29,933 views • 2 years ago •via X (Twitter)
11 Comments

Ukiwa Unahela Bhana Unaweza ajiri hata MFANYAKAZI, kutoa NIGERIA au SOUTH 😀😀🙌🏽 Kwa hicho Kingereza Cha mfanyakazi wa NANDY, Unadhani katoka Nchi Gani? Video kwa Comments👇🏾

Kuna wa mawalawi wengi sana wanafanya kazi za ndani hapa bongo, anaweza kuwa mmoja wao

Wazambia hawa Kaka,njaa kali uko kwao ni cheap kuliko waMALAWI

Wamalawi

malawi

Housegirl anajua ng'eng'e kuliko bosi, amazing

when u saw people 😂😂😂😂😂😂 nandy kiingereza gn iki

Wamempanga mdada mwingine ili kubadilisha dhan. Lakini ukweli ubaki pale pale wadada wa kazi ndo wanafanyiwa hivyo kabisa

Maswali yenyewe mpaka warudie mara mbili ndo anajibu alafu unasema sio m'bongo mtangazaji mwenyewe maswali mpaka afilikie kuna interview hapa wamlete live

Mbona kawaida SANAAAA

Mwandishi English mbovu kama bosi...House girl language imenyooka
Related Videos
Prossper ulichomfanyia huyu Demu sio mwanangu amini nakupanga.
Taivina James
20,102 views • 1 year ago
