正在加载视频...

视频加载失败

Binadamu wema bado wapo.

16,279 次观看 • 3 个月前 •via X (Twitter)

44 条评论

MZEE WA UTAJUA HUJUI🇰🇪 的头像
MZEE WA UTAJUA HUJUI🇰🇪3 个月前

Sababu ya kurekodi ni hii kama kuna wengine wataguswa kuwasaidia na wawasaidie 🤝

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Yah

†hømz 的头像
†hømz3 个月前

IG anatumia jina gani huyo jamaa??

Saumu Yanga 的头像
Saumu Yanga3 个月前

Watu wa yanga tunaonewa sana 😁😁 yaaani kwenye kila matukio tumo why lkn ....tutaanza kuwachukulieni hatua sasa aaaakkhh🤮

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

😂chizi

Skydivertz🇹🇿🇷🇼🇧🇮 的头像
Skydivertz🇹🇿🇷🇼🇧🇮3 个月前

Wanawake walivyo lile jamaa linaweza kumuomba aliazime laki tatu na analipa na linamzulumu😂🤷🏾

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Aaah kubabake 😂

Skydivertz🇹🇿🇷🇼🇧🇮 的头像
Skydivertz🇹🇿🇷🇼🇧🇮3 个月前

Niamini mimi kaka kuna mwingine alilalamika hapa dada yake kazalishwa lijamaa limemkumbia, msela anamsomesha dogo sasa dem siku ya fazazi akalipost lishkaji na sifa nyingi inaonekana wanakutana kisilisili😂😂🤷🏾

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Hawanaga ujanja kwenye ishu izo

Skydivertz🇹🇿🇷🇼🇧🇮 的头像
Skydivertz🇹🇿🇷🇼🇧🇮3 个月前

Nu hatali aka

Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 的头像
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏3 个月前

Usenge tu kuwasaidia kimya kimya hawezi?

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Sikiliza mwanzoni alipowaomba inawezekana akawa na maana nyingine kupost

APT0⚡️ 的头像
APT0⚡️3 个月前

Watu wa Dar matopen😂🚮

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

😂

APT0⚡️ 的头像
APT0⚡️3 个月前

Jau sana mzee😂

Cde.lutonjalouis 的头像
Cde.lutonjalouis3 个月前

Hii inafundisho kubwa sana wanaume tusikimbie mimba Aisee

PaschalSam1 的头像
PaschalSam13 个月前

Sahihi kabisa ..

No reform No everything tz 的头像
No reform No everything tz3 个月前

Hii project haitadumu sababu haitawafurahisha wale matapeli wa kazi na utu

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Duh

Mulastar 的头像
Mulastar3 个月前

Script hiyo we mzee shtuka

punchytakes? 的头像
punchytakes?3 个月前

Afu badae aanze kuja kudai mtoto

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

@ngumigani Ovyo

Black Sheep Affairs 的头像
Black Sheep Affairs3 个月前

afu kuna wasenge wanapeana zawadi za harusi billions of money 😭😭😭😭

Lewisi Martin 的头像
Lewisi Martin3 个月前

Ubarikiwe mkuu

Kidilu Mstaarabu 的头像
Kidilu Mstaarabu3 个月前

Watu wanapitia magumu san

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Sana

Msingidani 的头像
Msingidani3 个月前

Watu wema wapo sana

rajab msinzia 的头像
rajab msinzia3 个月前

Yaani bro kwamfano huo msaada wako ungeujua wewe na hao madada pamoja na Allah dah ingekuwa poa sana wallah

Tajiri wa Upendo 🕯️ 的头像
Tajiri wa Upendo 🕯️3 个月前

Hii ndio sadaka nayoijua mimi

Pedeshee Charles 的头像
Pedeshee Charles3 个月前

😎😎

Idris kisodo 的头像
Idris kisodo3 个月前

Wema wa hivyo ni udhalilishaji maana hata mungu haupendi!!!

Al-Masoud Bin Saleh 的头像
Al-Masoud Bin Saleh3 个月前

Umefanya jambo kubwa sana, Mungu akulipe duniani na ahera. Ingawa kwa ushauri wangu mara nyingine wafuche sura unaowasaidia

Tebbe 🫦 的头像
Tebbe 🫦3 个月前

Kweli kabisa

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Ewaah

InspiredByYou 🏛️ 的头像
InspiredByYou 🏛️3 个月前

Sio content hio ?

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

@daxMAGA Really

2up✌️ 的头像
2up✌️3 个月前

Content hii 💯

Football Analyst ⚽️ 的头像
Football Analyst ⚽️3 个月前

Africa ni Bara Maskini sana WTF

Forty-niner_049💫 的头像
Forty-niner_049💫3 个月前

Tatizo ni Moja tu ukiwa mwema unakufa mapema kwa mapenzi ya binadamu hawo hawo

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Aisee

Forty-niner_049💫 的头像
Forty-niner_049💫3 个月前

Amini mkuu ukifa kwa wema siyo mapenzi ya MUNGU ni binadamu wanakuondoa katika uso wa Dunia ili usiendelee kutenda wema kwa watu kwamfano Hawa wasenge wachawi hakuna faida wanayo pata zaidi kutesa watu kwao ndiyo furaha Yao kwaiyo wewe ukifanya wema unakuwa adui yao

Antibiotics 的头像
Antibiotics3 个月前

Awawezi kuzulumiana kweli

ᥱɾіᥴk ×͜× 的头像
ᥱɾіᥴk ×͜×3 个月前

Wanawake mara chache sana

Mayfirsty 的头像
Mayfirsty3 个月前

Basi Tu. Hawa dada zetu

相关视频