Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Bongo bhanaaa

79,581 Aufrufe โ€ข vor 2 Jahren โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Mdude Nyagali
Mdude Nyagalivor 2 Jahren

Huu ni mdoli kama ile ya Kariakoo kwenye maduka ya nguo wala sio Robot Bumunda Nape aache utapeli.

Profilbild von Pam Belinda ๐Ÿฅ‡
Pam Belinda ๐Ÿฅ‡vor 2 Jahren

Makubwa.. Haya siyo ya kucheka..! Wakenya wanasema.. HIZI NI MA-WHAT..?

Profilbild von Kikokotoo
Kikokotoovor 2 Jahren

Lema fanya juuu chini urudie nafasi yako chuga ili urudi bungeni tumemiss nondo wasingeleta huyo roboti wanafanya ivyo kutokana wapo wenyewe kule ndani.

Profilbild von Kivuyo247
Kivuyo247vor 2 Jahren

Hiyo sauti naifahamu, iko katika mojawapo ya akaunti zangu za kubadili text to voice kwa kiswahili kwa kutumia AI tool. Sio sauti za watanzania na haina mvuto kabisa. Ilitakiwa zingetumika sauti za kitanzania ili kuweka ladha ya utamaduni wetu katika kuongea

Profilbild von Emmanuel Fungo
Emmanuel Fungovor 2 Jahren

Mbona yupo tofaut nasofia sofia kope zina cheza midomo inafanania kuzungumza au huyu nikama redio tu waweka frash iliyo kwisha rekodiwa au mimi ndo sielew

Profilbild von Mobali ibn Batuta
Mobali ibn Batutavor 2 Jahren

Hili ndio robot sasa

Profilbild von GAZ
GAZvor 2 Jahren

Hatakama inatakiwa kupenda vya kwetu hii hapana aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..nni hiki ?

Profilbild von Zature
Zaturevor 2 Jahren

Kaizen kiongozi, hata mbuyu ulianza kama mchicha

Profilbild von Sekenke One ๐ŸŒป
Sekenke One ๐ŸŒปvor 2 Jahren

Mbona kama wameliwekea Karedio na memory ndani , hata midomo haichezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Ali Wasi
Ali Wasivor 2 Jahren

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ma-robots wakimshangaa robot mwenzao bila kujua kuwa nao ni ma-robots na remote yao iko kizimkazi.

ร„hnliche Videos