Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

😂😂😂😂😂😂😂😂Bongo bhanaaa

79,581 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Mdude Nyagali profil fotoğrafı
Mdude Nyagali2 yıl önce

Huu ni mdoli kama ile ya Kariakoo kwenye maduka ya nguo wala sio Robot Bumunda Nape aache utapeli.

Pam Belinda 🥇 profil fotoğrafı
Pam Belinda 🥇2 yıl önce

Makubwa.. Haya siyo ya kucheka..! Wakenya wanasema.. HIZI NI MA-WHAT..?

Kikokotoo profil fotoğrafı
Kikokotoo2 yıl önce

Lema fanya juuu chini urudie nafasi yako chuga ili urudi bungeni tumemiss nondo wasingeleta huyo roboti wanafanya ivyo kutokana wapo wenyewe kule ndani.

Kivuyo247 profil fotoğrafı
Kivuyo2472 yıl önce

Hiyo sauti naifahamu, iko katika mojawapo ya akaunti zangu za kubadili text to voice kwa kiswahili kwa kutumia AI tool. Sio sauti za watanzania na haina mvuto kabisa. Ilitakiwa zingetumika sauti za kitanzania ili kuweka ladha ya utamaduni wetu katika kuongea

Emmanuel Fungo profil fotoğrafı
Emmanuel Fungo2 yıl önce

Mbona yupo tofaut nasofia sofia kope zina cheza midomo inafanania kuzungumza au huyu nikama redio tu waweka frash iliyo kwisha rekodiwa au mimi ndo sielew

Mobali ibn Batuta profil fotoğrafı
Mobali ibn Batuta2 yıl önce

Hili ndio robot sasa

GAZ profil fotoğrafı
GAZ2 yıl önce

Hatakama inatakiwa kupenda vya kwetu hii hapana aisee 😂😂😂..nni hiki ?

Zature profil fotoğrafı
Zature2 yıl önce

Kaizen kiongozi, hata mbuyu ulianza kama mchicha

Sekenke One 🌻 profil fotoğrafı
Sekenke One 🌻2 yıl önce

Mbona kama wameliwekea Karedio na memory ndani , hata midomo haichezi 😂😂😂

Ali Wasi profil fotoğrafı
Ali Wasi2 yıl önce

😀😀😀 ma-robots wakimshangaa robot mwenzao bila kujua kuwa nao ni ma-robots na remote yao iko kizimkazi.

Benzer Videolar