Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Bonus Rate Perfomance ya Harmonize 😂
25,372 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 12

Angalia Leonardo alivyomchekesha Mama Samia Rais wa Tanzania na Umati wote kwenye Samia Kalamu Awards... Video kwa Comments 👇

Full Perfomance 😂😂🔥

Huu wimbo Konde alifanyaga chaguo baya la wimbo wa kuimba mpaka sasa angekutana na Judges wa BSS wangemtema mapema sana 😁😁😁😁😁

Huo wimbo huwez konde, achana nao bn

Sasa hapo konde amerekebisha nini? Mbona hapo ndio amezid kuzama tu

Ukute kajala ndo kamforce aimbe hvyo.

Kuna mtu karopoka hapo --- acha uongo 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾 "ningemuoa yule mwanadada"

Jamaa kaimb huu wimb vzr kapita na voice namba nne saf kbs ..shid wajuaj ni weng

Ndio uwabanie sauti?, Nyoko.

Instrumental imembeba yeye pia kaimba kawaida tu.

HUO WIMBO WA MALAIKA SI UWA NI WA POLEPOLE ILA YEYE ANAIMBA FASTER SANA KAMA ANAKIMBIZWA

Bado aimbe zenye amezoea tuu😂😂
