Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
CHUMA CHA MJERUMANI “AMBOKILE”. #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
22,280 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Masaka Chacha1 год назад
Sasa akili kubwa kama hii et hana cheo chochote kwenye bodi ya ligi, INASHANGAZA. Bodi ya ligi mtanipa hela yangu na gharama zangu, HUU UJINGA LAZIMA UKOMESHWE

Rajabu Mkalipa1 год назад
Na huu ndio uhalisia wake, bodi ya ligi inashinda kusimamia vigungu vya kanuni za ligi Badala yake inakalia uonevu tu

Isaiah🇹🇿👑1 год назад
Shabiki maandazi hapa hapakuhusu

Solar Heavy1 год назад
where space meets sound

Bube1 год назад
Kwishaaaa

@Tinoh1 год назад
Over🫡

kigomakwetu1 год назад
Huyo anabwabwaja tuu...hamna kanuni inayo mtaka simba atoe taarifa....huyu ni MPUMBAVU.

Mwananzengo Mzawa1 год назад
Chuma cha Mjerumani

mjumbe wa mkutano mkuu-official1 год назад
Isukwe upya sababu ya uhuni wenu???

RICH DONKEY1 год назад
fala huyu jibu liko kwenye ukurasa wa crown radio

Black Arch -designs & Consultant1 год назад
Alikuwa wapi asiwepo kwenye hyo bodi kama haya yote anaweza kuyapambanua vizuri hvo
