Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Godbless E.J. Lema doing the needful as always!
21,180 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

@fatma_karume @godbless_lema FM ni CCM ndni ya CDM na kama sio ccm ni mtu aliyewekwa CDM ili kupooza hasira za watu.mfano wakati uchaguzi wa lowasa vijana walikua na hasira ya kuandamana ili kupinga wizi wa kura mbowe na lowasa wakawatuliza.leo tena waombolezaji wanaonyesha hisia zao mbowe anawazuia kwanini?

@godbless_lema Lema ni mtu na nusu

@godbless_lema Kiukweli ujumbe umegusa Kila mmoja kwakweli shida madaraka yanawafanya watawala wajione wao wataishi forever

@godbless_lema Kwenye mshono kabisa... Safi sana kaka Lema

@godbless_lema Ee Mwenyezi Mungu wazingire na nguvu zsko wote wanaotafutwa ili wauawe na mfumo wa wauaji ambao tunahisi kabsa wanatumiwa na serikali hii haiwezekani watekaji wawe na nguvu kuliko seriksli iliyopo madarakani

@godbless_lema Ndo ukweli.

@godbless_lema Godbless Lema

@godbless_lema Wananchi wote walitakuwa kusikia hii.

@godbless_lema Aise nimetetemeka kam nahis barid

@godbless_lema Huyu mwanaume/ mugoosi
