Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Godbless Lema kanyooka sana

156,820 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧1 год назад

Naondoka na hii 👇🏽 "Hii Biashara ya kupenda Mpira kuliko Maisha ya watu, sio nzuri" 🙌🏽

Фото профиля Sean 🎖️
Sean 🎖️1 год назад

Naam

Фото профиля Tajiri wa upendo🕯️
Tajiri wa upendo🕯️1 год назад

Ameongea kwa hisia sana "Duniani hata ukipewa kila kitu, ipo siku utapita"

Фото профиля Hancy Machemba
Hancy Machemba1 год назад

Hii ndiyo tofauti ya wanaopenda kusema ukweli na wanaopenda kusifiwa

Фото профиля leon
leon1 год назад

Kuna point ya msingi hapo mwishoni kasema watu wanathamini mpira kuliko maisha

Фото профиля AFANDE CIRO
AFANDE CIRO1 год назад

Mmeona Sasa Faida ya kusoma Hy ndy Akili ya Elimu unaongea kwa fact & Evidence with vivid Exemple🫡

Фото профиля Dis-minder
Dis-minder1 год назад

Inasikitisha sana aisee sasa uki ongea ukweli tu wanakuchukua sijui tuna elekea wapi aisee

Фото профиля Punjani
Punjani1 год назад

Kila sentence ni bakora, kila akichomoza anashindiliwa nuclear. aisee Masauni kajuta kwenda pale kama ana moyo wa nyama leo halali, ila kama kajaa kibri atalala

Фото профиля RAISI WA MAJOBLESS 💰💰💰DUNIANI
RAISI WA MAJOBLESS 💰💰💰DUNIANI1 год назад

Nikiwambiaa watu wa kaskazini Huwa atujui kumununyaa manenoo ni straight

Фото профиля Heavyweight
Heavyweight1 год назад

Jamaa kaamua asipindishe

Похожие видео

GODBLESS LEMA Anapiga Utosini Tu 🔥
2:20

Sensitive content

GODBLESS LEMA Anapiga Utosini Tu 🔥

KIDUKU

62,931 просмотров • 1 год назад