Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Godbless Lema ni tatizo.

33,550 views • 10 months ago •via X (Twitter)

32 Comments

Nesan shoes's profile picture
Nesan shoes10 months ago

Huyuu mzee hamnaa mkeka wake ambao haujatoa mpka sasa

KanteObote's profile picture
KanteObote10 months ago

Hauzi mchele wa kukaanga jomba 😂😂😂nyeupe nyeupe simjui saaanaa ila namuamini sanaaaa

Rivaldo Bello🗽𝕏's profile picture
Rivaldo Bello🗽𝕏10 months ago

Mheshimiwa Lema, plz tabiri kifo cha Samia🥲 We tabiri tu, we Sema tu, Sema tu chochote kitatokea, please! Please a beg

Brac's profile picture
Brac10 months ago

Sasa inabidi tufungue vibanda vitano kwa sasa😆

aymen's profile picture
aymen10 months ago

Nabii Anakabia Kwa Juu Sanaa

Celestine Simba's profile picture
Celestine Simba10 months ago

Pambalu piga block hizo takataka za Kihongozi. Kila anayekoment negative piga block, mbona hawatoonekana kabisa. Sativa anafanya kazi nzuri, nami vilevile.

MKOSOAJI MAKINI😧🧐's profile picture
MKOSOAJI MAKINI😧🧐10 months ago

mtumishi wa Mungu @godbless_lema alioneshwa hili🤣🤣👏🏾👏🏾👏🏾

Adamee Ezekiel's profile picture
Adamee Ezekiel10 months ago

Kwamba yeye hatakufa

P R E M I U M .'s profile picture
P R E M I U M .10 months ago

Kampuni za betting zinaweza muajiri huyu jamaa

TATA MTANGANYIKA's profile picture
TATA MTANGANYIKA10 months ago

Salute

Kundendela's profile picture
Kundendela10 months ago

Nabii 🤔

dalasho mohamed bashe's profile picture
dalasho mohamed bashe10 months ago

Kufa hakina kinga ingekua yupo na hio nyadhifa leo pia angekufa siku yake ilifika na hamna atakae bakia iliandikwa siku na saa angekua waziri pia binadam wangesema ohh jamani kaapisgwa juzi tu uwaziri leo kafa 🤣hatuna jema binadam hulka yetu kurithi chuki au kuchukiana

Nattu Bee Products's profile picture
Nattu Bee Products10 months ago

Anakaa mbele ya muda

Joseph Wangwe's profile picture
Joseph Wangwe10 months ago

Lema , ana mafarli zao 😂😂

Oracles's profile picture
Oracles10 months ago

Ila nyie ni watu wabaya sanaa.

Amabel6764's profile picture
Amabel676410 months ago

Hakuna jambo Lema aliongea likaacha kutokea. Hata kwa utani tu kama hapa

Yesu wa Tongareni's profile picture
Yesu wa Tongareni10 months ago

Takataka Lema. Tapeli siku zake zinahesabika

silas ephuraim's profile picture
silas ephuraim10 months ago

Sijawah ona mtu mwenye kiherehere kama lema.

Sheshe's profile picture
Sheshe9 months ago

LemA ni mtabiri WA vifo.🤣

Sheshe's profile picture
Sheshe9 months ago

Lema anajua siku zako za kuishi duniani.

1 Cor 13:.'s profile picture
1 Cor 13:.10 months ago

Indeed watu wanaokua na hofu ya Mungu wanasema ya Mungu

FUNDI Samwel 🔧's profile picture
FUNDI Samwel 🔧10 months ago

Nabii Lema🙌

Starr's profile picture
Starr10 months ago

Nakumbuka ile ya Magu atadanji wakampa msukosuko na magu akadanji kweli. Ila Jenista alikuwa na kiherehere sana Mume wake alikuwa anakoma mbona

Israel Sulle (JOSHULE)'s profile picture
Israel Sulle (JOSHULE)10 months ago

Ni jawabu la unafiki

Mapunda Simba's profile picture
Mapunda Simba10 months ago

Kwahiyo mmeamini kwamba @godbless_lema ndo mtoa roho za watu? maana naona kama mnampa sifa za Nabii muuaji.

Rick Age, MD's profile picture
Rick Age, MD10 months ago

Kubwa

jay's profile picture
jay10 months ago

@godbless_lema prophetic statement to Jenister

Anord's profile picture
Anord10 months ago

Ila Lema Jamani

Athumani Mshihiri's profile picture
Athumani Mshihiri10 months ago

Nabii

Samweli Temba's profile picture
Samweli Temba10 months ago

Ila Godbless lema ni mtumishi wa MUNGU

Yesu wa Tongareni's profile picture
Yesu wa Tongareni10 months ago

Kwamba tapeli Lema yeye hatokufa? Nyie takataka kifo cha huzuni ni kwenu. Ila cha kushangilia ni cha waliojenga taifa? Nyie ni takataka na hamfai hata kukaa office ya chadema

Syonangike's profile picture
Syonangike10 months ago

😂😂😂😂

Related Videos

GODBLESS LEMA Anapiga Utosini Tu 🔥
2:20

Sensitive content

GODBLESS LEMA Anapiga Utosini Tu 🔥

KIDUKU

62,931 views • 1 year ago