HAKI ELIMU ๐๐๐๐
@PMadeleka147K followers
32,098 views
33 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Innocen89950594
Ungeendelea Na UPOTI Usingekua Na Huo Mzigo. Uwakili Unalipa Sana
13 likes

@Mali_empiror
Ungekua bado polisi hizo ungesikia kwenye redio na kuziona mtandaoni tu๐๐๐
7 likes

@ElibahatiMamuya
Ushamba huo.., Sikuwahi kufikiria kama wewe unaweza kufanya huu ushamba. Au masharti..?! Hata kama.., Kama vile ndio unaelekea kwenye ANGUKO LAKO. Sio kwa hadhi yako kufanya hicho ulichofakya hapo.., Very disappointed with you. You are not the one I thought you were.
4 likes

@EngMbwaga
Sema kaka wewe mjivuni sana
2 likes

@makumbawaleo_5n
Sema akina @MiriamMkanaka ni uchoyo au nini!? Mbona bloo anaonesha mnakunja bunda sana huko kwenye taaluma yenu!
2 likes

@Tesha155
Sema ndugu una kaushamba bado
2 likes

@babammoja
Mange kimambi alisema kweli kuhusu Lema mtazamo wake wa ela, ni vile tu haja conclude ila wakina Lema tuko wengi sana mm mwenyew nikiwemo ๐๐ Masikini na Ushamba Ni tako na Harufu
2 likes

@Mwlmp123
Unatakatisha fedha
1 like

@Mwombekikk
Wanyamwezi ๐
1 like

@kayombo_96
Nasikia zimetoka Kwa Abdul.
1 like

@PatrickGirigo
Hongera sana Wakili Nguli kabisa, hii ni Motivation kwa Vijana wetu wote hasa Gen Z walio kwenye Faculty of Laws popote Tanzania ๐น๐ฟ, Hakika Elimu ni Mali,.. Vox Populi, Supreme Lex
1 like

@Dingiiiiiii
Mara naibu waziri alisema pata pesa ila usipige nazo picha , wakili yeye ameamua kuchukua nazo video. Ahahah mi naona tusipangiane bana
1 like

@SodyElia
Anko naomba noti moja
1 like

@Yusuph_Lamiyo
Huu ni shamba wewe Kama wakili hela hiyo Umetoka wap Kama cio malipo ya kuisema vibaya serikali nimeamini kweli mnatumika vibaya
1 like

@KimbwiAbdul30
Kaka yangu kama MUNGU akikuongoza nipate hata bajaji nijikomboe na mimi kwenye umasikini!

@D54onSeT
Ila jamaa unapenda showoff kama bashite

@shumaabel
@selemasaki Eishโฆ ๐คค

@msigwajoh
Hongera sana kaka kama umezipata kwa kuto kuzurumu HAKI YA MTU basi hapo ukitoa na zaka siti yako peponi inakua โGold-Platedโ ๐ซก๐ซก

@AndyMwaria
Au hii ni AI

@BoyBoy51125708
Kipindi cha magufuli washakupa kesi ya uhujumu uchumi apo biswalo anakichora tu












