正在加载视频...

视频加载失败

121,992 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Daniel Lameck 的头像
Daniel Lameck1 年前

Kama copy au macho yangu ! Maana karatasi ni ya rangi why hiyo ni black ⚫️ and white!? Sometime ni propaganda maana wote ccm na chadema ni wahuni tu sio watu wa kuamini

Abdillah Ibrahim 的头像
Abdillah Ibrahim1 年前

@SuluhuSamia @SuluhuSamia @SuluhuSamia hongera Mama kwa maendeleo, mchapa kazi bora, Rais bora Afrika mpaka masanduku ya kura yanakitii chama chako,hongera kwa demokrasia makini na 4 R, hongera waziri wako msimamia uchaguzi wa TAMISEMI ambae ni mme wa mtoto wako, family affairs

Daniel Lameck 的头像
Daniel Lameck1 年前

Ulipaswa kutuonyesha sura za hawa watu kwanini unaficha sura zao ? Kitalaamu tunaelewa maana ya propaganda

Ford Sony 的头像
Ford Sony1 年前

Kwa hiyo unajua leo haya ndio matokeo ya malidhiano

Mwidini_Z_Msang 的头像
Mwidini_Z_Msang1 年前

Chadema na @freemanmbowetz tuliwaambia wakat ule msikubali maridhiano kwasababu haki haiombwi wakadanganywa na upepo wa wakat ule tumefika hapa kwasababu yenu mngekomaa hawa watu wangetoa tu mbona.

MAKITABA🔛 的头像
MAKITABA🔛1 年前

leo akifa mwana ccm mimi siwezi kuhzunika hata kidogo haya mambo hakuna mwana ccm ambaye habariki , najua kifo ni haki yangu ila huu ni ujinga unafanywa na ccm

Anthony Kasigwa 的头像
Anthony Kasigwa1 年前

Yaani hasira mpaka unahisi kupasuka @ikulumawasliano nanyie jana mmesema utakuwa huru na haki, haki ndo hii? Tumechoka tumechoka @ortamisemitz ni upuusi gani huu unaendelea

Anord 的头像
Anord1 年前

Upuuzi mtupu, nilijua tu haya mambo ya kishenzi

Mnigajia 的头像
Mnigajia1 年前

Huu ushetani umekithiri hapa bongo asee hii ni aibu

EmmanuelgeorgeChadema🇹🇿 的头像
EmmanuelgeorgeChadema🇹🇿1 年前

@Rubibi_idrisa Uchaguzi Umevurugwa,

相关视频