Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

64,107 views • 2 years ago •via X (Twitter)

21 Comments

CCM Digital's profile picture
CCM Digital2 years ago

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya WAZAZI ha Chama cha Mapinduzi Ndugu Ali Hapi akizjngumza na wananchi wa kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika Singida Mjini.

Saint 🧚's profile picture
Saint 🧚2 years ago

Much much love'CHADEMA 🎉✌️

KICHUJI's profile picture
KICHUJI2 years ago

Alafu kumbe ubaguzi wanaueneza wao tukianza kuutumia udini hata yeye kwa dini yake hairuhusu ubaguzi kama huu ndio maana abdul anahaha kila mahali kama ana tenda yaliyo mema ktk utawala wake haitaji kugawa rushwa hawa vibaraka atawaponza laana atavuna na hatawah kufurahia maisha

IN GOD WE TRUST's profile picture
IN GOD WE TRUST2 years ago

Hi ndiyo ccm wameanzisha ni hatari kuliko kimbari kule ndwanda

kadogooalfonce's profile picture
kadogooalfonce2 years ago

@MariaSTsehai Duuuh wangekua wengne sasa kelele ambazo wangepiga

RAPHAEL PHAUSTINE's profile picture
RAPHAEL PHAUSTINE2 years ago

Mmetengeneza kijana Safi Sasa Ni Wakati wa Kumrisha Maneno Akue Zaidi 🫡

🇹🇿🇹🇿❤️Ndile Mwarabu🇹🇿🇹🇿's profile picture
🇹🇿🇹🇿❤️Ndile Mwarabu🇹🇿🇹🇿2 years ago

Mumeanza milio sasa endeleeni kulia mbona hapo bado sanaa hata mkianza kutafuta huruma kupitia dini.. kimsingi tumewajua na hizo ndio sera zenu mnamchafua mama kisa dini yake sasa imekua nongwa kuwaambia ukweli? Mbona nyiny mnatumia vibaya wachungaji na maaskofu!!? TUNAWAZOOM TU

Ole Gunnar's profile picture
Ole Gunnar2 years ago

Nani mwingine kamwona yule mzee busy anaandika na kukata?

Mjenzi's profile picture
Mjenzi2 years ago

Tatizo kubwa tulilonalo,,,ni upungufu mkubwa katika uongozi.

Radamel Falcao's profile picture
Radamel Falcao2 years ago

Ndo ukweli

Acleus's profile picture
Acleus2 years ago

Mh Lema, Msigwa ana tatizo gani? Mmeshindwa kumuita na kuongea naye awe calm! Have you weighed the impact of his doings?

edigreen's profile picture
edigreen2 years ago

Kijana kashiba kwa kula maneno ya uongo uongo😂 Chadema mnaiharibu sana singida na tumeshtuka sasa sepeni mtuachie singida yetu.

WAZFA's profile picture
WAZFA2 years ago

Video hapi akiongea msikitini au hata ka picha tu.

fw's profile picture
fw2 years ago

Uongo mtupu atuletee ushaidi

Masoud's profile picture
Masoud2 years ago

MISOMISONDO

Baba Joseph's profile picture
Baba Joseph2 years ago

🤔🤔

Bw. shamba's profile picture
Bw. shamba2 years ago

Huyu jamaa anaduk la simu singida mjini. Linaitwa DEIRA ni tapeli sn. Kachukua kwa nguvu sn mali za watu halipi pesa mjivuni na hana heshima. CHADEMA fanyeni vetting vzr huyu aachwe na ubodyguard wake tu kwa m/kiti

JOHN MKANDE(MWENYEKITI UVCCM KATA YA MNYAMANI)'s profile picture
JOHN MKANDE(MWENYEKITI UVCCM KATA YA MNYAMANI)2 years ago

Kaka na wewe unaongoza wilaya kupitia kazia gani duu kweli Kuna waropokaji wengi saana

Abdi Shekimweri's profile picture
Abdi Shekimweri2 years ago

Uchaguzi hauko mbali. Viongozi wa ccm wanapenda sana kutumia misikiti kama daraja lao. Hata mimi niliwahi kukutana na tukio kama hilo ndani ya msikiti.

Jerry Kimenye's profile picture
Jerry Kimenye2 years ago

Hii ni hatari kubwa zaidi ya danger!

John. J. Mlangi's profile picture
John. J. Mlangi2 years ago

That was Sad and Unfortunate. Maombi yetu “Wananchi Wapenda Haki na Utawala wa Sheria na Haki”, tuwaombe Viongozi wote wa Dini, madhehebu yote wasiwape Wanasiasa wasipeleke Propaganda zao ovu na Uongo kwenye Sehemu za maombi

Related Videos