Loading video...
Video Failed to Load
Hii nchi ina sheria?🤔
79,569 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Alichosema ni kweli. Wala msimbishie. Ccm wanatamba sana na ndo maana hata miharifu imejificha huko kwa kujua italindwa na mfumo. Yale maccm yanasafirisha wasomali kwa V8 ulishaona yamepelekwa Mahakamani?

Mambo ya kukemea kwa nguvu haya. Tusipokuwa makini tutafikia hatua watu wanazikana kwa itikadi. Deplorable conditions 🙄🙄🙄

Yuko Sahihi Kabisaaaa..Kaongea Ukweli Ambao Ukiisikia Unaweza Sema huyu Vipi..? 😂😂😂🏃🏃

Kada anachokisema ndio ukweli wenyewe WanaCCM Wana enjoy Maisha hata wakifanya makosa ya jinai hawaguswi hizi Sheria wao Wala haziwahusu,pongezi Kwa Mwenyekiti wa chama kwa kusimamia jambo hili na utekezaji wake unafanyika bila kusuasua 👏

Na chaajabu sio msemaji tuu,Ila wanaomshangilia na kumpigia makofi ndo wanatia hasira zaidi

Anaongea ukweli kwani yule mwenyekiti wa vijana Kagera alifanywaje @SuluhuSamia vipi hapo sheria ukiwa @ccm_tanzania hazikuhusu ila kwingine utasakwa mpaka uvunguni malipo ni hapa hapa mama na sisi tunae Mungu ipo siku vilio vya ndugu zetu wanaopotea kama kina Kombo vitasikika

Watanzania leo tumeamia kwa Aziza key mara Deborah kufuli. Vitu vya haki na maendeleo huwezi ona watu wanaangaika navyo

Huyu Mzee haongei Uongo hata kidogo,Mahakama Jeshi la Polisi wote hawa wanaburuzwa tu na Maccm,bila ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tuna Safari ndefu sana kama Taifa,tutaendelea kutawaliwa Kibabe na Maccm mpaka tujute kuzaliwa

Lawless country ccm wanawadharau sana watanzania

Ina sheria Kwa chadema tuu ukiwa mwana ccm wew upo juu ya sheria
Related Videos
Sensitive content
HII NCHI HAINA RAIS
Mchokozi !!
75,895 views • 1 year ago
