Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Hii video imenishangaza ....
110,565 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Mambo ya msomera hayo masai wa Tanga

- Chasing Time

Mbna vivutio vya utalii vinaenda kupotea nchin ata juzi nmekutana na Masai kaweka breach ngachoka kabsa

Mimi kama OLAIBONI na mkuu wa tawala za masai.. Nimesikishwa na hizi picha mjongeo kwani zipo tofauti na mila na tamaduni zetu.. Nafikiri hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wahusika

Wamasai wa kiume wote wamekimbilia Dar, wamewaacha wadada peke yao…😂

Hii ndio shida ya kuwapeleka masai Tanga

Si mlisemaa Disco, kaingiaa mmasi , Mlitarajiaa nn.

Masai wa Ruvu hao sawa na wazaramo tuu tofauti ni vijora na hizo gagulo

Mmeshawaaribu wamasai, mmewatoa Ngorongoro kuwapeleka handeni ili muwaharibu

Sasa Masai mmewaleta pwani mlitegemea nini

Jamaniiii hawa wamasai wawapi asee khaaa
