Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Huyu Mzee ni nani ?
66,272 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

#NoReformsNoElection #HakunaMabadilikoHakunaUchaguzi

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Kiukweli, hoja ya no reforms no election ni hoja nzito na tunapaswa kusimamia hapo. Sababu ukweli upo wazi.

Leo anasimama na kusema hakuna wizi wa kura. Sasa wale wenye ubongo mdogo kama sisimizi watakuja hapa na kupindisha kauli. Wananchi tunataka kura zetu ziseme. Sio viongozi waseme nani atakuwa kiongozi wetu. Wananchi tumeshafanya maamuzi tunataka chama kingine kishike dola

. Hakuna haja yakuwa na siku ya wajinga.. serikali imetufanya wajinga kila siku

@SuluhuSamia aione hii ajue mitandao ina Kila ushahidi na awe muungwana tu tufanyae mageuzi @ACTwazalendo @zittokabwe @ChademaTz NCCR NA WAJINGA WENGINE WASIMPE KICHWA MAANA NI MADEBE TUPU

Anaitwa Mzee Masumbuko

Amesaliti Kambi ya wezi au wanataka kututoa kwenye reli

Kasharamba asali anasema mabadiliko yameshafanyika kwenye tume ya uchaguzi😂

Ni Clone ya wasira😁

Huyu ni Wasira halisia aliepo saizi kama Makamu mkiti ccm ni aliechakachuliwa na ccm na kuwa kama kituko au roboti
