Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

31,102 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)

22 Yorum

Democracy profil fotoğrafı
Democracy11 ay önce

Kupenda sifa ni nature ya binadamu yeyote. Kila mtu anapenda kusifiwa na ndo maana tunapambana ili tusiwe na sifa mbaya. Ila Mzde kanichekesha yaani nyumbani kwake kajaza walimu na trafic na anajisifia hivo. Sijui angekuwa na mmoja ni boss UN au ni professor Harvard kama wahaya😀

donaldmkatalunya profil fotoğrafı
donaldmkatalunya11 ay önce

Huyu mhaya sema alihamia kondoa

Mr. Kgt profil fotoğrafı
Mr. Kgt11 ay önce

Labda kama hamuwajui warangi vizuri... Mhaya akasome sifa kwa mrangi.

Mshanga P J profil fotoğrafı
Mshanga P J11 ay önce

😀😀 eti wa mwisho alipata kichaa!!

Changamlilo profil fotoğrafı
Changamlilo11 ay önce

Anapangilia vizuri maneno yake

Pedeshee Charles profil fotoğrafı
Pedeshee Charles11 ay önce

😁😁😂😂

Karuka profil fotoğrafı
Karuka11 ay önce

Anaweza kutick viboksi kadhaa kwenye criteria ya Hypomania.

MimiPekee profil fotoğrafı
MimiPekee11 ay önce

Aliyekataa kusoma kapata kichaa😀😀😀

Cuthbert Sweetbert profil fotoğrafı
Cuthbert Sweetbert11 ay önce

😂😂

Nkota Mwaijumba profil fotoğrafı
Nkota Mwaijumba11 ay önce

Huyu hawezi kuwa mrangi😂😂

時間が答えてくれる profil fotoğrafı
時間が答えてくれる11 ay önce

Mzee Mohamed Kova ,kisha tangulia mbele za haki

RQ profil fotoğrafı
RQ11 ay önce

Uyu ni muhaya labda aliamia kondoa 😂😂

Deecomple profil fotoğrafı
Deecomple11 ay önce

Mzee anaFlex balaa

Mtafiti🧢 profil fotoğrafı
Mtafiti🧢11 ay önce

Aliyekataa kusoma kawa kichaaa

ONJAH profil fotoğrafı
ONJAH11 ay önce

Unauza nyumba kusomesha, Ajira hakuna. Bora ungeuza ukafanya mtaji au kuwekeza hisa mpaka mtoto akikua ni UNA KITITAAA

Bruno profil fotoğrafı
Bruno11 ay önce

@xdownloaderbot

Kibabu Jr profil fotoğrafı
Kibabu Jr11 ay önce

Huyu mzee ni kuma 😃

Suzan Mwamba profil fotoğrafı
Suzan Mwamba11 ay önce

Hatunagaa tabia hizii lakin😂😅😅🙌

Auz Almasi profil fotoğrafı
Auz Almasi11 ay önce

Mkuu wa mkoa huyu, hana makuu kabisa!

STK profil fotoğrafı
STK11 ay önce

Kwakweli amenena vyema.

Lab Technologist 🔬 profil fotoğrafı
Lab Technologist 🔬11 ay önce

huyu ni mhaya in nature

Shimb junior profil fotoğrafı
Shimb junior11 ay önce

😂😂😂😂🤣

Benzer Videolar