Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
I will see you soon ....
29,019 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Karibu mpwa

Fanya wepesi mkuu Arusha tumekuwa wanyonge sana

Mangi utaPitia kwanza Dar then uende Arusha

kaka hakika mungu akujaze kheri na baraka urudi salama sisi kama vijana na wanachama wenzako tumekumiss sana

Wavuta bangi wa arusha na mirungi hawana lolote

Huu upendo sijui kama utatulipaje kamanda wetu maana tunakupenda mnooo

Kenneth Leticia welcome home Chugs Tz

Tunatamani na wewe urudi nyumbn Tuijenge Nchi yetu

Welcome back kamanda

Mmmh..makamanda kwenye kijiwe 😂😂😂 kazi hawana hawa machoko always utawakuta hapo nikupiga domo tuu...mwenzao alikua anapokea mamilioni kila mwisho wa mwezi siku akikatiza hapo akawaogesha na kahawa ya elfu 7 kijiwe kizima anawaacha na story ya mwezi kumjadili
Benzer Videolar
Oh, I see it now. If you don't, you soon will.
🚫👁️Drinks on Saturday🇺🇸
141,672 görüntüleme • 6 ay önce
