正在加载视频...
视频加载失败
Ila nanga 😂🙌
24,982 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
4 条评论

Nassib Mkomwa1 年前
🗣"Changamoto ni sehemu ya maisha yetu na kuhusu Endorsement mamlaka ndio itatoa maelezo unajua mwanzo Endorsement ilikuwa inatolewa kwa mtu zaidi ya mmoja ila sasahivi mambo yamebadilika Chama cha soka ama klabu kikitoa Endorsement hakitoi tena kwa mtu mwingine."- Ally Mayayi.

Zee la Vyeti (PhD)1 年前
Kunazidi Kuchangamka

FELIX JASON1 年前
Mgombea wa kiti cha Urais wa TFF, Richard Shija amesema atampeleka kwenye kamati ya maadili na kamati ya Rufaa Rais wa TFF, Wallace Karia. "Rais aliyepo madarakani anapochukua Endorsement zote maana yake anazuia wagombea wasiingie kwenye uchaguzi" 🎙️ Richard Shija

Simba Sports Club1 年前
Viingilio vya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu tukiwa wenyeji. #NguvuMoja
