Loading video...
Video Failed to Load
Juzi kati....
29,581 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Elon Musk wa TANDALE, Anaona kuwa Tajiri number 1, Duniani ni kama kununua Rolls Royce.. Ila RUANGWA WAMEMKATAA LIVE 😂😂😂 Sijapenda..... Video kwa Comments👇🏾

Kuwa tajiri namba moja hayo sio malengo😅 akina Mark Zuckerberg, Elon Musk, Jeff Bezos, William Gates, ndoto zao zilikua kuboresha huduma walizoanzisha kuwafikia wengi. Wakajikuta wapo hapo walipo. Ndo maana hutamuona Bill Gates akifadhaika kushuka top 3. Namba zinabadilika tu

Jamaa muongo muongo uyuuu kaah😂🙌

Kuna jamaa anasema huwezi😂

Fact check - mwezi upo Karibu zaidi na Dunia kuliko Nyota. Yamkini alimaanisha lenga Nyota ukikosa utaangukia Mwezi.

Masanii wenu ameanza kuwa motivation speaker ghafla 😂

rais wa kwanza dunian hawezi kutokq nnchi maskini ina maana akiwa namba moja tajira dunian yy qnakua tajiri kuliko nnçhi yake 😀

Sasa kununua ros ros sio ndio kua tajiri no 1

Hapo hpo tu Kuna raia wamemwambia hawezi live

rose rose ni nini icho😂

Wahuni hawataki kuelewa.😂😂😂😂
