Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Kanyoosha vizuri
39,466 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 30

ccm Chama Kikongwe Mdomoni Tu Lkn Lissu Akae Pale Samia Pale Tume Huru Asubuhi ccm Wanalia hii Nawaowanajua ndio Maana Wanashikwa nakigugumizi mziki wa Lissu ni Mziki Mnene Jk mwenyeewe Ajua Mziki wa LISSU

Ndo anazidi kuumbuka 🫵🏾😂

Lowassa alikatwa jina kwasababu alianza kampeni mapema. Samia ameanza kampeni January anavunja katiba

Utasikia usichanganye Siasa na dini!!

Samia anataka kufanya alichofanya magufuli 2020. Maana alitoka hewani na kusema amewafekelea mbali. Akumbuke mwaka huu mambo yamebakilika.

Waandishi wa Tanzania hawana uwezo wa kuhoji haya unayowaagiza wanachoweza ni kunukuu habari sio kudadisi habari wanafuata bahasha na uchawa kwenye matukio.

#NoReformsNoElection 🇹🇿✊

@KatibaMpyaTz_ Hi vita Tutashinda sisi wananchi

Dah tunayaona pia naomba kuuliza mbona plate namba Zina andikwa ssh 25 30 je ikitokea Gali limepata ajali au likagonga mtu utatoaje utambulisho police maana Gali ziko nyingi za ivo je police awajaona ilo au linaluhusiwa nasi tuweke

Hizo baiskeli na pikipiki, matokeo yake ndo Hawa wachina wanaoingia na kuishi nchini wanavyotaka uku mamlaka zikiwaangalia kama haziwaoni

Bashe ni mwizi tu

Nchi imeshaoza viongozi hawachaguliwi ila wanaongoza wananchi hawawapendi ila wanalazimishwa kwa faida ya watu wachache walioko kwenye mfumo ulio feli No reforms no election

Hii nch Ina usenge sana

Mwa sisis wa taifa hili alisema katiba ni kama vazi vazi lolote Lina choka ni vyema ukabalidilisha ili uonekane tofauti sasa wamenga'nga'nia vazi lilelile Hadi uzee ni aibu

alafu @zittokabwe @ACTwazalendo @PMadeleka wajinga hawa wanasema watalinda kura

Jinai haijawahi kuoza ipo siku watakuja kuwajibika watahojiwa na watajibu na huyo SSH hatakuwepo

Hapa takukuru na tume ya uchaguzi wanapita kama wanaaga maiti

Anae hoji mwenyewe kama haelewi somo kabisa! Kazi kweli kweli!

@ikulumawasliano @MsigwaGerson @mwigulunchemba1 @Nnauye_Nape @JMakamba @ridhiwankikwete @SMWasira

Kwanini kipindi hiki?

Tunawahitaji wazee kama hawa

Kanyoosha vizuri sana

Mapadre wote duniani wanakuaga na akili sna

Vitu ninavyovipenda mimi

#NoReformsNoElection Hapo sasa, swali nzuri sana ni kwanini CCM wanaogopa kufanya reforms kabla ya uchaguzi utaofanyika October?

Anataka wadanganya CCM huyu msikubali

Shikamoo baba

Akili nyingi

@judiciarytz @tanpol @jwtztaarifa @orpptanzania @TumeUchaguziTZ @jmkikwete @nchimbie @SuluhuSamia @CCM

✔✔
