Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kitoto cha DAGAMA pyala..!😂🙌🏿
33,266 görüntüleme • 1 ay önce •via X (Twitter)
20 Yorum

Hamna mchezaji humo alage bata tu hela za baba ake🤣🤣

Anacheza kama babaake😆

Chuki mnazipeleka hadi kwa watoto. Je wa kwako yuko wapi acheni mambo ya kisenge

Huyu hata magoli ya career ya Nchimbi hafikishi.

🤣🤣🤣 There will be no an escape route.. shenzi sanaa 🤣🤣

Katasanda na kuteleza mapema kama tapeli wa Zidane, Enzo! 😅

huyu dogo amna kazi hzo nguvu angetumia kuchapa ma mamzi 😂

Kina tamaa iki akina shida ata Moja kinaanza kuangaikia na mipira😂

😂😂😂

Vurugu tu uwanjani😹

🚮

Oyaaa ww mzeee 😂😂😂🙌🙌huyu atafute Kaz nyengine

🤣😅🤣😅🤣😅

Sema mrefu kuliko ukoo Wako mwanangu 😅

dogo tapeli anaforce talent

Mpira hamna humo

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tolu kama tolu

Mwanzo wa utapeli ndo huu

Dogo angesimamia miradi ya mshua tu mpira hamna humo 🚮
