正在加载视频...

视频加载失败

Kura Maishaaa 😁😁😁😁😁😁😁 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

52,114 次观看 • 2 天前 •via X (Twitter)

31 条评论

S.A.N.T.I.A.G.O 🗽 的头像
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽2 天前

Mshikaji anaonekana mtu wa maji sana yani kula na maisha na kuonga ni vitu tofauti kwake😂

Nkolo Lupemba 的头像
Nkolo Lupemba2 天前

Pesa yangu kumpa mwanamke (kuhonga) labd nifanyiwe maombi nahs Nina shida sehemu

IzackNewton 的头像
IzackNewton2 天前

Nb: wanaume tule maisha tusiishie kuwatafutia wengine tu.

Kendrick Lamar 的头像
Kendrick Lamar2 天前

Mzee wa Zimbabwe tumemiss sana mawe yako pendwa ya kiaarakati na ukosoaji wa kweli. Tutupie jiwe moja basi kaka

Michael 的头像
Michael2 天前

Jamaa kazingatia sana hicho kipengele. Tunaishi mara Moja mkato 😂😂

Ngadu 的头像
Ngadu2 天前

Tunaishi mara moja kwahiyo kura maisha ni muhimu sana

Hasheem77 的头像
Hasheem772 天前

Noma 😀🙌

Mwl.Keberenge wa Nyasaricho 的头像
Mwl.Keberenge wa Nyasaricho2 天前

Kuhonga ni kipengere muhimu sana

Adv. KOROSHO_255 的头像
Adv. KOROSHO_2552 天前

Familia kabisa huyu wanaume rizki zetu ngumu mno 😂🙌

BROWN 🟤 的头像
BROWN 🟤2 天前

😁😁😁

Martin Menrad 的头像
Martin Menrad2 天前

Kuraaa maisha kaka....

A man 86 的头像
A man 862 天前

😂😂😂

Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 的头像
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏2 天前

Kula Maisha

MARTINE MATOKEO 的头像
MARTINE MATOKEO2 天前

Kula maisha 😂😂 Eat more, the slogan says 🤗🤗

Jackson 的头像
Jackson2 天前

Amenianua kitu hapo kumbe kula maisha hakuhusiani nakuhonga

Samuel WL 的头像
Samuel WL2 天前

Noma mno

Maro Mwikwabe 的头像
Maro Mwikwabe2 天前

Utaftaji ni mgumu iweje tupangiane namna ya kula maisha nyie wanawake hiyo bajeti ya kuhonga iko kwenye kitabu gan kwenye vile vitakatifu( biblia au quruan)

Geofrey Joseph 的头像
Geofrey Joseph2 天前

🤣🤣🤣

EMMANUEL HAULE 的头像
EMMANUEL HAULE2 天前

@MadadyJr 😂😂😂

Hamis Mandary 的头像
Hamis Mandary2 天前

Dogo jau sana uyu 🤣🙌

Nurse Saphia 的头像
Nurse Saphia2 天前

🤣🤣🤣

Timmo__store👟🛍️ 的头像
Timmo__store👟🛍️2 天前

@mwlkeberenge 😂😂

MKariakoo 的头像
MKariakoo2 天前

Hhj

Mangi Chuwa 的头像
Mangi Chuwa2 天前

😂😂😂

Liu Xhang 的头像
Liu Xhang2 天前

Hiyo ya kula maisha asipokuwa na msimamo ndiyo inaenda kugeuka yakuhongea

Pedeshee Charles 的头像
Pedeshee Charles2 天前

😁😁

SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 的头像
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬2 天前

😂😂😂

Obuntu 的头像
Obuntu2 天前

Afadhali anawakumbuka wazazi

Erick Jr 的头像
Erick Jr2 天前

Dah nimecheka sana aysee

Kikago kikugusi 的头像
Kikago kikugusi2 天前

Uyu jamaa nmechoka

Matary 的头像
Matary2 天前

Kura maisha

相关视频