正在加载视频...
视频加载失败
Kwa kweli...
11 条评论

Latto 𝕏1 年前
Msikilize huyu jamaa alafu uniambie, Hivi kweli, Jamaa sauti anayoongea sasa inafanana na Tundu lisu? Au ni uvivu wa kulima 😂😂 Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 年前
Vipi je Patrick Lumumba wa Kenya

Virgin Brain⚡1 年前
Hapa amepatia melody tu na flow ila sauti halisi no👎

rombo yetu1 年前
Ananingia anatoka bado hajaweza kutembe a na ufunguo wa tone kama unajua mziki utanielewa

Abbas juma1 年前
Uvivu wakulima huo

kim xav↙️1 年前
Kwa mbaali sana naona Limau linakaribia kuwa chungwa.

MPIGA_KURA1 年前
Kachemka

Cairo Jeremiah PhD1 年前
Mwambieni akalime tu aache ujinga

UaTribalChief1 年前
Kwahio Wasafi ni redio ya chadema😂😂😂, mbona lebo yao ina rangi za chadema...am Just asking,

Peter1 年前
Hamna kitu

adam woiso1 年前
Akalime tuu huyo Hana lolote
